Loading failed
JF-Expert Member
- Sep 14, 2023
- 3,003
- 8,378
Mimi chochote kile na kubaliana nacho maana ndivyo walivyo hawa viumbe wapotevu na dhaifuNgoja waje, ila umejiandaa?
Bora umelionq hilo mkuu, wanaume ss ni wapmbvu sana unakimbia mtt hlf ndo wa kwanz kulalama.Ndio msizae hovyo ili mzee watoto wenu wenyewe.
Mtoto akilelewa na mama atalelewa kimayaimayai ila utake usitake, tena kama ndio mtoto wake mmoja huyohuyo mdada umwambii kitu.Hawa wanawake sijui wana matatizo gani huku duniani, ukiwaza sana unaweza ukasema labda hawa wanawake ndio wapinga kristo wenyewe kabisa (wadada mnisamehe bure ila huu ndiyo ukweli).
Vijana wakiume wamelegea sana, wanarembua rembua macho, wanalamba lamba lipsi, mara wanajichubua chubua na hii nikutokana na malezi mabovu kutoka kwa hawa mama zao tokea wakiwa wadogo
Utakuta mdada ana kakijana kakiume amejaliwa vizuri tuu ila ana kaweka kikike kike, mtoto wa kiume unamvalisha nguo ya mamidoli midoli, mara makopa kopa sasa kama unataka nguo za mapicha picha kwanini usimvalishe nguo mapicha picha magumu magumu ya kiume ili azoee narangi nzito nzito unamvalisha hizi za mvuto wa kike kike.
Mwingine anaenda mbali zaidi ana mpaka mtoto wa kiume lipstick ile isiyo na rangi au mafuta mdomoni ukimuuliza anadai eti ana kuambia mdomo wa kijana wangu unakauka hivi kweli tutafika ndugu zangu
Nyie wanawake mtoto wa kiume ni wakumnunulia midoli kweli alafu ukiulizwa unadai amependa mdoli. Utasikia mimi mwanangu anapenda midoli, eti nyie wa dada kwanini msiige hata wazazi wetu walikua wakitununulia toy za bunduki, vigari , wengine tulichezea mabokoboko, maringi ya baiskeli na gololi
Mbaya zaidi inasikitisha sana , sijui ni uzungu au ni nini. Mtoto kafika darasa la nne bado mnagandana gandana , mara umkumbatie, mara umbusu, mara akulalie kwenye mapaja mkiwa sebuleni mbaya zaidi anaenda kuoga nyie kazi yenu ni kuchungulia chungulia tuu bafuni, ikifika usiku eti unaenda kulala nae room moja unasem mwanangu ni mwoga anaogopa mende na giza.
Na huko kwenye madaladala , bajaji bado tena mnawaganda. Yani unakuta kabisa kachalii kamebalehe kamepakatwa na mama yake au dada yake ni shida tupu kwa kweli.
Mwanamke unajiremba mbele ya mtoto wa kiume bado unalala nae, hapo hapo unampa mafuta ya kike atumie ananukia kikike kike unaona ni sahihi alafu akija kuwa bwabwa mnaanza kusema wanaume wameisha hii ni sawa kweli..
Hebu wanawake acheni huu ujinga wenu. Nyie dilini na hao mabinti zenu hawa watoto wa kiume mtuachie na kama ulitelekezewa hebu anapojitokeza mbaba kukemea tabia za kike kwa mtoto wako wa kiume hebu relax usimwambie azae wa kwake
Kuna watu watatumia picha ya mtoto wa msanii maarufu tu kama refference we subiri tuHawa wanawake sijui wana matatizo gani huku duniani, ukiwaza sana unaweza ukasema labda hawa wanawake ndio wapinga kristo wenyewe kabisa (wadada mnisamehe bure ila huu ndiyo ukweli).
Vijana wakiume wamelegea sana, wanarembua rembua macho, wanalamba lamba lipsi, mara wanajichubua chubua na hii nikutokana na malezi mabovu kutoka kwa hawa mama zao tokea wakiwa wadogo
Utakuta mdada ana kakijana kakiume amejaliwa vizuri tuu ila ana kaweka kikike kike, mtoto wa kiume unamvalisha nguo ya mamidoli midoli, mara makopa kopa sasa kama unataka nguo za mapicha picha kwanini usimvalishe nguo mapicha picha magumu magumu ya kiume ili azoee narangi nzito nzito unamvalisha hizi za mvuto wa kike kike.
Mwingine anaenda mbali zaidi ana mpaka mtoto wa kiume lipstick ile isiyo na rangi au mafuta mdomoni ukimuuliza anadai eti ana kuambia mdomo wa kijana wangu unakauka hivi kweli tutafika ndugu zangu
Nyie wanawake mtoto wa kiume ni wakumnunulia midoli kweli alafu ukiulizwa unadai amependa mdoli. Utasikia mimi mwanangu anapenda midoli, eti nyie wa dada kwanini msiige hata wazazi wetu walikua wakitununulia toy za bunduki, vigari , wengine tulichezea mabokoboko, maringi ya baiskeli na gololi
Mbaya zaidi inasikitisha sana , sijui ni uzungu au ni nini. Mtoto kafika darasa la nne bado mnagandana gandana , mara umkumbatie, mara umbusu, mara akulalie kwenye mapaja mkiwa sebuleni mbaya zaidi anaenda kuoga nyie kazi yenu ni kuchungulia chungulia tuu bafuni, ikifika usiku eti unaenda kulala nae room moja unasem mwanangu ni mwoga anaogopa mende na giza.
Na huko kwenye madaladala , bajaji bado tena mnawaganda. Yani unakuta kabisa kachalii kamebalehe kamepakatwa na mama yake au dada yake ni shida tupu kwa kweli.
Mwanamke unajiremba mbele ya mtoto wa kiume bado unalala nae, hapo hapo unampa mafuta ya kike atumie ananukia kikike kike unaona ni sahihi alafu akija kuwa bwabwa mnaanza kusema wanaume wameisha hii ni sawa kweli..
Hebu wanawake acheni huu ujinga wenu. Nyie dilini na hao mabinti zenu hawa watoto wa kiume mtuachie na kama ulitelekezewa hebu anapojitokeza mbaba kukemea tabia za kike kwa mtoto wako wa kiume hebu relax usimwambie azae wa kwake
Umaskini na Hasira ni Baba mmoja, Mama mmoja,Unakutana bishoo mtaan anavaa soksi na malapa eti ana allergy ya vumbi, huwa natamani nimfate nimpige hata mitama
Wakati yote hayo yanafanyika, wewe baba unakua wapi??? maana hata Jogoo huangalia familia yake.Hawa wanawake sijui wana matatizo gani huku duniani, ukiwaza sana unaweza ukasema labda hawa wanawake ndio wapinga kristo wenyewe kabisa (wadada mnisamehe bure ila huu ndiyo ukweli).
Vijana wakiume wamelegea sana, wanarembua rembua macho, wanalamba lamba lipsi, mara wanajichubua chubua na hii nikutokana na malezi mabovu kutoka kwa hawa mama zao tokea wakiwa wadogo
Utakuta mdada ana kakijana kakiume amejaliwa vizuri tuu ila ana kaweka kikike kike, mtoto wa kiume unamvalisha nguo ya mamidoli midoli, mara makopa kopa sasa kama unataka nguo za mapicha picha kwanini usimvalishe nguo mapicha picha magumu magumu ya kiume ili azoee narangi nzito nzito unamvalisha hizi za mvuto wa kike kike.
Mwingine anaenda mbali zaidi ana mpaka mtoto wa kiume lipstick ile isiyo na rangi au mafuta mdomoni ukimuuliza anadai eti ana kuambia mdomo wa kijana wangu unakauka hivi kweli tutafika ndugu zangu
Nyie wanawake mtoto wa kiume ni wakumnunulia midoli kweli alafu ukiulizwa unadai amependa mdoli. Utasikia mimi mwanangu anapenda midoli, eti nyie wa dada kwanini msiige hata wazazi wetu walikua wakitununulia toy za bunduki, vigari , wengine tulichezea mabokoboko, maringi ya baiskeli na gololi
Mbaya zaidi inasikitisha sana , sijui ni uzungu au ni nini. Mtoto kafika darasa la nne bado mnagandana gandana , mara umkumbatie, mara umbusu, mara akulalie kwenye mapaja mkiwa sebuleni mbaya zaidi anaenda kuoga nyie kazi yenu ni kuchungulia chungulia tuu bafuni, ikifika usiku eti unaenda kulala nae room moja unasem mwanangu ni mwoga anaogopa mende na giza.
Na huko kwenye madaladala , bajaji bado tena mnawaganda. Yani unakuta kabisa kachalii kamebalehe kamepakatwa na mama yake au dada yake ni shida tupu kwa kweli.
Mwanamke unajiremba mbele ya mtoto wa kiume bado unalala nae, hapo hapo unampa mafuta ya kike atumie ananukia kikike kike unaona ni sahihi alafu akija kuwa bwabwa mnaanza kusema wanaume wameisha hii ni sawa kweli..
Hebu wanawake acheni huu ujinga wenu. Nyie dilini na hao mabinti zenu hawa watoto wa kiume mtuachie na kama ulitelekezewa hebu anapojitokeza mbaba kukemea tabia za kike kwa mtoto wako wa kiume hebu relax usimwambie azae wa kwake
Siyo umaskin mwanaume unatakiwa uwe mwanaume siyo unaanza kulambalamba lips mbele ya wanaume wenzako , unajilainisha lainishaUmaskini na Hasira ni Baba mmoja, Mama mmoja,
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kuna mbuzi wengine ukiwapigia gitaa ndo unakamua maziwa mengi sanaa, na siku ukiacha piga gitaa hupati mathiwa kabsaaa