Wanawake mnatuchanganya sana

Wanawake mnatuchanganya sana

shantao

Senior Member
Joined
Jun 1, 2023
Posts
110
Reaction score
185
Walianza na wazee "sugar dadies", wakatuon vijan wote kwa kpnd kile hatun maana huku wakiwasifia kua wanajua kuhudumia na wanajali af sio pasua kichwa km hawa wa maji ya moto. Wakaanz kubadilika et wazee wa nin kwnz watakuj kutufia kitandan, mara ujana wao watumie huko kwngn uzeen ndo wamalize kwetu.

Wakaja kwa vijan weupe, wakaanz kuwasifia ni ma handsme,wanaswag huk wakitusem couples ambzo tupo weus wote kua tnataka kugundua uchawi. Pia wakatusema wanaume weuc 2tafte hela pengne uu weuc n kutu. Baad ya mda wakaanz wanaume weupe n malaya pia weng hawaogi.

Wakaamia kwa wenye ndev nyng na saut nzto kua wapo romantic, wanaweza sana mchezo hku tusio na ndev tkiambw tpo kama zuchu.Badae wakasema hatuwatak weng n wachaf na saut zao kama chura huku wakisema kama una ndev af hun hela tofaut yak na mbuz n mavi tu.

Sasa wapo kwa weuc af waref et wapo so hot na wanajali sana huku wakiwasema watu wafupi kua hakuna binadam mwny afy njema na akil timamu mwenye fut 2,3,au 4 pia et wakimeza mate mikojo inawabn hapo hapo.
 
Wewe hukuwaelewa wanacho maanisha pesa fulushi chapa, hera faranga dollar........sio jingine.
 
Hahaha na ukijiona nimwanamke na umefika level hii. Bs uckae sana ndani tembea tembea huenda utapata nafas ya kuigiza muvi za kichawi
 
Depal hebu ukuje huku unichanganye nizimie kabisaaaaa!

Sijui utani describe kwa kipi? Uuuuwi!
 
Kesho watahamia kwa wanaume wasio na kitu watatwambia wanamapenzi ya dhati
 
Walianza na wazee "sugar dadies", wakatuon vijan wote kwa kpnd kile hatun maana huku wakiwasifia kua wanajua kuhudumia na wanajali af sio pasua kichwa km hawa wa maji ya moto. Wakaanz kubadilika et wazee wa nin kwnz watakuj kutufia kitandan, mara ujana wao watumie huko kwngn uzeen ndo wamalize kwetu.

Wakaja kwa vijan weupe, wakaanz kuwasifia ni ma handsme,wanaswag huk wakitusem couples ambzo tupo weus wote kua tnataka kugundua uchawi. Pia wakatusema wanaume weuc 2tafte hela pengne uu weuc n kutu. Baad ya mda wakaanz wanaume weupe n malaya pia weng hawaogi.

Wakaamia kwa wenye ndev nyng na saut nzto kua wapo romantic, wanaweza sana mchezo hku tusio na ndev tkiambw tpo kama zuchu.Badae wakasema hatuwatak weng n wachaf na saut zao kama chura huku wakisema kama una ndev af hun hela tofaut yak na mbuz n mavi tu.

Sasa wapo kwa weuc af waref et wapo so hot na wanajali sana huku wakiwasema watu wafupi kua hakuna binadam mwny afy njema na akil timamu mwenye fut 2,3,au 4 pia et wakimeza mate mikojo inawabn hapo hapo.
Tafuta hela tu.Fullstop.
 
Back
Top Bottom