Wanawake mnaotembea nusu uchi mnakera...

Kuvalia vimini waume wa wenzio (hicho kiatu kivue)))))
 
Usiache kuvaa nguo ndefu hivyo vimini waachie vicheche_MwanaFA.
 
Kama m2 akivaa ivo anakukera na ww tembea na MAGUNIA ukimuona m2 yupo 0.5 uchi umufunike nalo.................
 
Joto ! mwanangu !
Dada zetu wanakula vizuri siku hizi mwili unakuwa na joto sana ndio maana wanapunguza nguo !
 
wanasema mavazi ya mtu yanaelezea tabia ya mtu..sa sijui ni kweli
 
Ivi waadzabe nao kwenye hili wanawekwa kwenye kundi gani!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…