Husn Husn jamani nimekumisooooo,TF anaendeleaje?maana nasikia jana kaonekana hoi anafakamia mataptap uwanja wa fisi manzese.
Afro inakuja na mengi yasiyobebeka.
kumbe unaelewa unamambo yasiyobebeka ktk jamii??
Unaugomvi na "Lizi", sio Lizzy,,ready my lips.
Kongosho kwa haraka haraka haya maneno uliyoandika yanafika 100 ingekuwa unaongea yangekuwa maneno 800 kwa sekunde moja...:eyebrows:afu TF is a loyal customer
hata apande cheo awe ceo wa world bank
Mama muuza haniachi kuja kuniungisha
anapenda miguu ya kuku na utumbo huyo
na mataptap yake ya 200 anatoka hapa yuko chakari
Bora muongeaji utamjua mapema na kuangalia namna ya kumhandle na kukupelekea kufanya maamuzi sahihi,
Kuliko mkimya anayepritend na ukishamuweka ndani ndio anaanza kujiachia ndioa unaishia kujuta na inakuwa imekula kwako!!!
Hao wakimya ni utata mtupu,akikasirika hujui, kitu hajakipenda hujui,mwisho wa siku anakujibu kwa vitendo,utajuta!!