Mbona kama umekata tamaa mkuu?Ndo bas tena
I meant they are too late to say that now....maana watoto washatumia na hutumia sana especially wanachuoMbona kama umekata tamaa mkuu?
Wewe upo kwenye denial state ila facts unazijua, Ushoga ni pande mbili ila trust me Mashonga wengi ni Victim tu either Hormone imbalance afu kuna Michezo ilifanyika akiwa mdogo bado hajitambuiKwaio unataka kuahalalisha kwamba ushoga ni ishu ya kibaiolojia na sio tabia chafu sio? Shindwa kabisa