Kingsmann
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 5,197
- 19,463
Juzi kati nilikua nimekaa maeneo flani na washkaji!!
Ktk piga piga stori tukajikuta tumezama kwny ishu ya ushoga na hii ni baada ya jamaa mmoja kipande cha mtu kukatiza karibu na meza yetu!!
Mi nilivyompiga jicho yule jamaa mikato yake nikawaambia jamaa zangu,huyu mtu mbona kama 'sio sio'? Ndo stori zikaanzia hapo!!
Pale kulikua na mdada wale washkaji wako naye ofisi moja!! Yule mdada akaanza kutupa mkasa wake Anasema yeye ana watoto wawili wote wakike!! Amekaa miaka takriban 4 toka ajifungue mtoto wake wa mwisho!!
2020 akawa anataka apate mtoto lkn wa kiume. Akaenda kuonana na Dakitari wake Agha Khan!! Daktari akamuuliza kipindi chote alichokaa bila kuzaa alikua anatumia njia gani kuzuia ujauzito!?
Akajibu alikua anatumia vidonge vinaitwa P2!!
Daktari akamshauri si vizuri kupata mtoto wa kiume baada ya matumizi ya P2 kwa muda mrefu maana zinafanya homoni za kiume ziwe chini mno hivyo utapata mtoto wa kiume mwny homoni asilimia chache za kiume hivyo asilimia kubwa utazaa shoga!!
Dada anasema kuthibitisha hilo wakafanya vipimo na majibu yakawa vilevile alivyosoma Daktari!! Daktari akamshauri kuna dawa atumie kwa miaka miwili baada ya hapo ndo anaweza akapata mtoto wa kiume dume!!
Dada anasema sasa kashamaliza dozi na kapima kila kitu kiko sawa!!
Kiukweli niliondoka pale nikiwa na mawazo na maswali lukuki!! Nasikia hizi dawa zinatumika sana uswahili,kama hii stori aliyotoa yule dada ina ukweli basi baada ya miaka kadhaa hali itakua mbaya sana!!
Wataalam wa afya hebu tuwekeni sawa kwny hili!!
Nawasilisha!!
C & P