Wanawake mnakwama wapi?

,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] acha dharau mkuu,[emoji777][emoji777][emoji35]
 


Aahahahahhaaa mzabzab weeh hakuna namna zaidi ya kuendelea kugegedana tuu looh.
 
,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] acha dharau mkuu,[emoji777][emoji777][emoji35]

Sio dharau ndio ukweli. Kila taasisi ina matakwa yake. Matakwa ya ndoa ni kwamba mkutane mkiwa hamjawahi kugegeda au kugegedwa. Hiyo condition tayari wengi tulishafeli hivyo basi yafuatayo ni kulazimisha tuu.
 
Wanawake hawaelewi,mwanaume ni kama mtoto mdogo wakiweza kuishi nao kwa busara...hizi habari za vijiweni hazitakuwepo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…