Wanawake mnakwama wapi?

Wanawake mnakwama wapi?

Nihzrath

Member
Joined
Jan 15, 2013
Posts
51
Reaction score
116
Unapomuona mwanaume wako( Mwenza wako katika mahusiano yenu) amekuwa na tabia za kukuomba picha za utupu umtumie kupitia Wasap au anapiga video Call...huku akitaka umuoneshe maumbile yako ukiwa uchi.

My Sisters..Huyo mtu hakufai sio tu kuwa mpenzi bali hata rafiki. Hayo si mapenzi.

Mwanaume yoyote anayekupenda kwa dhati katu hawezi kuhitaji utupu wako kupitia mtandaoni...

Kwani si anajua wapi atauona utupu wako na kuusawiri atakavyo yeye... Kwanini umtumie kupitia mtandao?..FIKIRIA

Mwanaume anapokuomba picha ama kukupiga picha za utupu. Basi ,tambua ya kwamba; Mwanaume huyo amekudharau mno, hajakuheshimu. Anakuchukulia wewe ni kama malaya tu.

Haoni thamani ya utu wako.Anakuona ni mjinga tu. Mwanaume anayekushawishi kupiga picha za utupu huyo sio mumeo. Ni mtu wa Eat &run.Kimbia kabisa tena kwa kasi ya Usain Bolt.

Jambo muhimu ni kufahamu...Picha hizi za utupu mara zote huwa hazifutiki mtandaoni kamwe. ..Zinadumu na kudumu kizazi hadi kizazi.

Fikiria hili baadae...

Iko siku, mtoto wako wa kiume atakuja kuona utupu wako.Ndio utupu wa mamaye...

Siku zote...Macho hayana pazia...Atatizama na kisha atakuja kukutazama wewe usoni ukiwa ukingoni mwa maisha yako. Atasema: "Huyu ni mama yangu....Aliyafanya haya zamani, lakini ndiye aliyenizaa. Nifanyeje?"

Hapo hatoweza kujivunia nawe. Hili litamuharibu kisaikolojia kwa maisha yake yote.

@Ebu mfanye mtoto wake aje kuwa shujaa wako baadae. Unachokitenda leo ndicho kitakuumiza hapo baadae. Tunza ujana wako.

MWISHO. Wanawake ni tatizo katika hili...Unakubali vipi kupigwa picha ukiwa mtupu?...Huna akili....huna hofu ya wazazi, au ni ulimbukeni wa mapenzi..Hivi mnapopoteza muda wenu kutazama tamthiliya za kikorea ..umewahi kuwaona hao Role Model wenu wakitupiana picha za uchi..Kama hapana...Kwanini ufanye wewe?

Kwanini wanawake ni tatizo katika hili?

Mara chache kama sio mara nyingi..Wanawake ndio waathirika wakubwa katika haya matukio na huwa hawajifunzi.

Hakunaga mtu anayejifunza kwa makosa yake. Siku zote Mtu anapaswa kujifunza makosa ya mtu mwingine. Kujifunza kwa makosa yako ni Too late.

Mpuuzi mmoja alipata kusema..:

"Usimuamini Mbwa anayechechemea ama kuamini machozi ya mwanamke mbele yako" FIKIRIA HILI PIA.

NB. Hata kivuli chako chenyewe, kuna muda kinakusaliti...Nyakati za giza kivuli kinakuacha peke yako, iwe kwa mwanadamu?USIMUAMINI MTU

ZINGATIA:

Mapenzi ni kitu chenye uhai..huzaliwa, hukua na lazima yafe..ndio lazima yafe siku moja. Hakunaga upendo wa milele. CHUKUA HATUA.
 
Una mawazo ya kizamani Sana Mkuu.

Mimi utafanya lolote ninalokuamuru ikiwa tuu unahitaji kuwa mpenzi wangu.

Hutaki kaa pembeni. Achia watakao weza.
 
Kuna kale kauzuzu flani hivi cha mapenzi. Unakuta mtu anafanya chochote ili kumridhisha ampendae. Hii issue ya kurecord au kupiga/kupigwa picha za utupu si sawa kabisa.
Wadada msidanganyike!!!!!!!
 
Una mawazo ya kizamani Sana Mkuu.

Mimi utafanya lolote ninalokuamuru ikiwa tuu unahitaji kuwa mpenzi wangu.

Hutaki kaa pembeni. Achia watakao weza.
Joka katika ubora wake
 
mtoa mada yamemfika HAPAAAAAAAA baada ya kudukuliwa na mpenz wake
 
Unapomuona mwanaume wako( Mwenza wako katika mahusiano yenu) amekuwa na tabia za kukuomba picha za utupu umtumie kupitia Wasap au anapiga video Call...huku akitaka umuoneshe maumbile yako ukiwa uchi.
My Sisters..Huyo mtu hakufai sio tu kuwa mpenzi bali hata rafiki. Hayo si mapenzi.
Mwanaume yoyote anayekupenda kwa dhati katu hawezi kuhitaji utupu wako kupitia mtandaoni...
Kwani si anajua wapi atauona utupu wako na kuusawiri atakavyo yeye... Kwanini umtumie kupitia mtandao?..FIKIRIA
Mwanaume anapokuomba picha ama kukupiga picha za utupu. Basi ,tambua ya kwamba; Mwanaume huyo amekudharau mno, hajakuheshimu. Anakuchukulia wewe ni kama malaya tu.
Haoni thamani ya utu wako.Anakuona ni mjinga tu. Mwanaume anayekushawishi kupiga picha za utupu huyo sio mumeo. Ni mtu wa Eat &run.Kimbia kabisa tena kwa kasi ya Usain Bolt.
Jambo muhimu ni kufahamu...Picha hizi za utupu mara zote huwa hazifutiki mtandaoni kamwe. ..Zinadumu na kudumu kizazi hadi kizazi.
Fikiria hili baadae...
Iko siku, mtoto wako wa kiume atakuja kuona utupu wako.Ndio utupu wa mamaye...
Siku zote...Macho hayana pazia...Atatizama na kisha atakuja kukutazama wewe usoni ukiwa ukingoni mwa maisha yako. Atasema: "Huyu ni mama yangu....Aliyafanya haya zamani, lakini ndiye aliyenizaa. Nifanyeje?"
Hapo hatoweza kujivunia nawe. Hili litamuharibu kisaikolojia kwa maisha yake yote.
@Ebu mfanye mtoto wake aje kuwa shujaa wako baadae. Unachokitenda leo ndicho kitakuumiza hapo baadae. Tunza ujana wako.
MWISHO. Wanawake ni tatizo katika hili...Unakubali vipi kupigwa picha ukiwa mtupu?...Huna akili....huna hofu ya wazazi, au ni ulimbukeni wa mapenzi..Hivi mnapopoteza muda wenu kutazama tamthiliya za kikorea ..umewahi kuwaona hao Role Model wenu wakitupiana picha za uchi..Kama hapana...Kwanini ufanye wewe?
Kwanini wanawake ni tatizo katika hili?
Mara chache kama sio mara nyingi..Wanawake ndio waathirika wakubwa katika haya matukio na huwa hawajifunzi.
Hakunaga mtu anayejifunza kwa makosa yake. Siku zote Mtu anapaswa kujifunza makosa ya mtu mwingine. Kujifunza kwa makosa yako ni Too late.
Mpuuzi mmoja alipata kusema..:
"Usimuamini Mbwa anayechechemea ama kuamini machozi ya mwanamke mbele yako" FIKIRIA HILI PIA.
NB. Hata kivuli chako chenyewe, kuna muda kinakusaliti...Nyakati za giza kivuli kinakuacha peke yako, iwe kwa mwanadamu?USIMUAMINI MTU
ZINGATIA:
Mapenzi ni kitu chenye uhai..huzaliwa, hukua na lazima yafe..ndio lazima yafe siku moja. Hakunaga upendo wa milele. CHUKUA HATUA.
Usicomplicate sana maisha Mzee....
 
Kama wasipofuata huu ushauri wako basi huna dhambi kwa Muumba
 
Mkuu unaweza kuwalaumu hawa viumbe ukawa ndo unazidi kuchochea hawa viumbe ni ngumu kujua wanachohitaji wakati mwingine n wao wenyew wanazisambaza kwa maksudi
 
Back
Top Bottom