SweetyCandy
JF-Expert Member
- Sep 17, 2022
- 4,800
- 8,989
Ipi na huku wanasema wamechoka hawatoi unyumbaNgoja wamalize kuhudumia ndoa waje kukujibu
Hata wanaume wapo wanaowatesa wake zao, lakini wanawapikia wanawafuria nyumba wanasafisha, na chakula wanapikiwa na hao waume wanakula bila kusita wala kuuliza.Unamfanyakazi wako , unaishi naye unamsema vibaya ,unampiga kama mbwa halafu anapika unakula chakula chake kweli ?? Huogopi ipo siku atakuua ataweka sumu kwenye chakula ufe wewe na familia yako .
Jingine unamuachia watoto akae nao hata yule mdogo .
Halafu ukirudi kelele kuanzia uje hadi ulale mnatisha sana . Sijui mnaroho gani hamna utu. Hata kidogo . Jaribuni kuweka ujinga pembeni . Mtakuja kupikiwa nakula nyama za watoto zenu. Mkizani nyama za kuku .
Mtakula vizuri nakushiba mkija kugutuka katoto kamoja hakapo ndio utajua . Kama wewe ni mama jaribuni kuishi na msichana wako kwa akili.
Usiku mwema nakaribisha povu kwa wamama wasiojilewa .
Hawana akili hao kabisaHata wanaume wapo wanaowatesa wake zao, lakini wanawapikia wanawafuria nyumba wanasafisha, na chakula wanapikiwa na hao waume wanakula bila kusita wala kuuliza.
Sana mtu anafua anapika anaogesha watoto wako , anawalisha , anadeki nyumba nzima anafanya usafi nje na ndani ila bado hii mijianamke inawatesa nakuwanyima mishahara yaoInasikitisha sana
Wao mie mtu akinioa tu sitaki apangishe nataka awe na gari zaidi ya moja na anifungulie biashara ndio unapewa unyumba.Wanawake mnajiamini sana anakupa hela ya vocha, ya kusuka, ya kodi, ya msosi, nauli unakula halafu unagoma kwenda geto huogopi kufanyiwa kitu kibaya!
Ndiyo hivyoHawana akili hao kabisa
Dah hapo n dada kuwanyoosha hao maboss wapuuzi tuu, Ndo mana watoto wanateswa kwa kuchapwa ovyo kumbe maboss ndo chanzoSana mtu anafua anapika anaogesha watoto wako , anawalisha , anadeki nyumba nzima anafanya usafi nje na ndani ila bado hii mijianamke inawatesa nakuwanyima mishahara yao
Huo unyumba wako mbona wa masharti sana!Wao mie mtu akinioa tu hapangishi anagari na anafanya hivyoo na afungue biashara unapewa unyumba
Mmh yaani hata humu wapo wanajiona ujinga tu ila hawakai kujua kuwa ninavyotokaga watoto wanabakia nani??Dah hapo n dada kuwanyoosha hao maboss wapuuzi tuu, Ndo mana watoto wanateswa kwa kuchapwa ovyo kumbe maboss ndo chanzo
Huwezi ishi kama ndugu yako maana yupo kazini ila sio kumpiga mpaka kumuuaWasichana sehem wanateswa ndio wanakaa kwa adabu na miaka mingi,ukiishi nae kama ndugu yako anaanza kukuona mnalingana anajiona mwenye nyumba sijui kwanin
Mimi kama nikipata hela au mwekezaji waakili yangu nafungua shirika la msaada lakusaidia wasichana wakazi na watoto wasiojiweza ili watokane na matatizo yakufanya kazi kwa wenzao waweze kujikimu . Wasomee kozi .tu aipendayo na ajiajiri au aajiriwe subiri tu ipo siku watakosa wadada wakazi wafanye wenyewe tuoone kama watawezaUkimfikiria mwanamke na akili yake utachanganyikiwa
Mwanamke anafanya vitu vya kikatili mno tena dhidi ya mwanamke mwenzake (house girl)
Kuna siku jirani yangu alikuwa anataka kumpiga na panga house girl tena kafura ghafla nikaingia akashusha pumzi na kujidai mwema huku akiniambia namna house girl anavyomtesa "kimawazo"yani shem sijui nifanyeje Mimi!?"alisema