Umesema kweli kabisa mtoa mada. Mimi yameshawahi kunikuta kama hayo hayo. I had a friend tulikutana naye kwenye hizi social networks, akaniomba namba nikijua ni mtu serious. Cku moja akaniambia yuko Dar kama vipi tuonane, akaja nikamkaribisha kwangu, jamani huyo mdada alivyovaa niliishiwa nguvu, kufika tuu kawahi kitandani, tumepiga stori kidogo akaniomba CD za movies nikawa nina za nyimbo za dini tuu na movies za kawaida akawa bored. Kidogo akaanza uchokozi, cha msingi zana zilikuwepo na baada ya pale ikabidi nimmwage tuu the same day she daparted. Hovyo Hovyoo kabisa. Utaendaje kwa mtu humfahamu, then the same day unataka akudo? Nilipomwambia ukweli baadaye akaniambia eti alidhani asiponipa sitamuoa. Jamani just in one day? Ajabu
hii ya kwako ni tofauti na mada hapo juu...huyu wako ulikuwa unawasilina nae..na hapo umetaja neno kuoa maana yake katika mazungumzo yenu umewahi kutaja kitu hiki kwake........mambo mengine mnayajenga wenyewe wakati wa maongezi....na kingine kichokufanya ummwage siku hiyo ni kuwa kulikuwa na picha tofauti ndani ya kichwa chako kuhusu huyu dada..ndio maana alivyokuja tu pale ukaona vitu havimetch ukagaili japo ulimridhisha kwa kumtia kwa ndomu
Sio wanawake wengi wenye tabia hiyo nawatetea dada zetu inategemea na mtu alivyo kama ni changu hutegemei
umtokee anaweza kukutokea na pia sio changu tuu kuna ambao wana tamaa binafsi maybe ya hela au tamaa tu
za kufanya hayo mambo sasa inategemea wewe mhusika msimamo wako kama una tamaa lazima utadanganyika
ila kama una msimamo hutaingia kwenye majaribu ALWAYS THINK AFTER KUDO WHAT COMES BUT DONT THINK BEFORE
KUDO WHAT WILL HAPPEN sababu wengi huwa tunajilaumu baada ya kudo sio kabla put it that way sasa.
Evelyn acha wachina ni balaa mhh! Unaonaga nini huko tuambie bwana labda itatusaidia na sisiU r a good person endelea hivyo ivyo mke utayemuoa au ambayo unaye she is so lucky ...........amshukuru Mungu siku zote kwa kweli maana sis wakaguzi tunayaona huku mikoani kwa kweli ukimwi hautoisha...........
FL1 unapoenda kulodge kuna form hivi unajaza ndipo hapo huyo dada ali copy na kupaste no yangu.
Bro charger sio wote wanaofanya hivyo wanataka penzi la hasha, wengine wapo kikazi zaidi sa we ungekubali tu ungeshangaa kukuta wallet iko empty kama si kudisappear kabisa!! Alaf usijidanganye hata siku moja ukamdharau mwanamke uliekutana nae kwa siku 1 akakubali u-do nae, ukamuona ye ndo mjinga pasipo kujiangalia wewe kwanza pengine we ndo utakae okotwa!! Tunapaswa wote tuchukue tahadhali na si kuquestion upande mmoja tu.