Sijui kwanini waTanzania tunavipa kipaumbele sana viungo vya uzazi.....
Asubuhi baada ya kudamkia gym upunguze kitambi...na mifuta ya jana...unawaza kuanza siku na uchovu wa mbunye....usiku mzima ulikuwa unafanya nini..mpaka umsumbue mama watoto asubuhi aache kuwaanda watoto kwenda shule....akupanulie mapaja wewe.....sijui sisi waAfrica tupo...
Mtafia sana juu ya papuchi
Wallah this is made in Tanga
Nikikupata wewe ni kupiga miti tu
Doh
Na kuna Wanaume wasiopenda kuamka asubuhi jamani hiyo ni tabia mbaya...mamaa lazima apate staftahi ati! Acheni uvivu Nyie mnaopenda kulala hadi saa sita
Owh usinambie ukinipa na miti utaniumiza npige na ufunguo wa gari au hat ya nyumba
mwanamke akiwa na pumzi ya kutosha sio tu anahimili ila na yeye inamsaidia. cha asubuh kizuri mno
ni muhimu lakini sio lazima .
Badala ya kumkomoa usiku kucha, Wewe vipi?Nkilala na hasira sitoi......
Ivoo?!!!!, Kumbe hata Nyie Wachina mmo ee?Hakuna muda penzi linakuwa tam kama asubuhi. Yahani we acha tu asikwambie mtu
Kaizerkazurikazuri masai dada afrodenzi luk vere..msomeni mamaafacebook vizuri....only if kama.mnataka kuingia na kubaki salama kwenye ndoa...yaani mnakutana na wala chips sijui mnawaokota wapi afu mnadhani wanaume wote tupo ivo
Nikikuhonga unajua gharama zake?
tuelewane kabisa nunambie ghrama zake nikiasi gani
Faida za morning flory ziko well documented wajameni...sasa kumbe kama hutaki kuamshwa asubuhi kwa mume umeenda kufanya nini, kulala? Mume hanyimwi unyumba kadhalika mke pia. Ukijifanya usingizi wa asubuhi mtamu au uko busy unaandaa watoto toka saa kumi na moja asubuhi utaona kilichomyima kanga manyoya
Unapigwa mtungo mara tano kwa wiki
Ama kwa hakika umefundwa wewe! Endelea kuyaishi mashule aliyokupa kungwi wako
yaani hizo ndo gharama hebu unitue mwana wa mwanaume mwenzio
Kwa wasioolewa morning glory wanatoa kwa nani sasa
me nashangaa kubwa hasa kwa mumeo unamnyima unyumba akapate wapi?? ina mana hao wa kumpa hakuwaona had akakuoa na akili wala hazishtuki mtu akiguswa asubuh utamsikia hebu babu na wewe kwan hulali sjui kwan husubir baadae ahahah hiyo ndo ticket umempa akatafte nyumba ndogo vizur