Khah..suala la mapenzi kwa kichaga ni jambo la ziada tu kikubwa ni kazi kazi .kufundisha mtt wa kike mambo hayo ni ujinga na aibu kubwa .kikubwa uchagani kwa wtt wa kike ni shule na kijifunza kujitegemea ndio maana hakunaga utamaduni wa mtu kuchukua mahari au kumuozesha bint wa kichaga.binti wa kichaga ndio analeta mchumba wake mwenye aliemulokota huko alafu taratibu za kifamilia zinafuata bila kumpinga au kumbabaisha