Labda waliokulia uchagani,wa mijini wameamka siku hiziJaman wadau, nimejarbu kuwazaaa jinsi wanawake/mke wa kichagga anavyotuma kutafuta pesa lakin linapokuja suala la mahaba maujanja kama Binti wa KiTanga inakuwa Zero au 20% accurate performance.......yaan angekuwa full package........
Hvi ni wapi walikosea bibi zetu....... Au ndio kutokuwa na utamaduni wa mafunzo ya mautunduuuuu.......... Hahahaaaaa!??
BY DUME LA KICHAGGA
Jaman wadau, nimejarbu kuwazaaa jinsi wanawake/mke wa kichagga anavyotuma kutafuta pesa lakin linapokuja suala la mahaba maujanja kama Binti wa KiTanga inakuwa Zero au 20% accurate performance.......yaan angekuwa full package........
Hvi ni wapi walikosea bibi zetu....... Au ndio kutokuwa na utamaduni wa mafunzo ya mautunduuuuu.......... Hahahaaaaa!??
BY DUME LA KICHAGGA
Hebu mtuachie dada zetu bwana. Pambaneni na waswahili wenu
Mi mwenyewe mchagga lakin acha niwachane tuuuu...... Hahaa
Jay10 mm mwenyewe ni wa huko huko lakin dada zetu hawa ni wazuri kwenye utafitaji lakin si romantic kabisa.
Na hawajishughulishi na ishu izo. Ukiwa mgeni utapata taabu kuishi nao
Unataka mke au unataka mnenguaji?Fafanua Eve