Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,284
- 39,510
Kujisifia handsome ni kidhibitisho tosha kuwa wewe una mawazo ya kitoto. So, usisubiri wadada kuja kujibu.Dada zetu wenye experience na sisi wanaume haya yanayosemwa ni kweli??
Zifutazo ndizo sifa walizanazo wanaume katika ulimwengu wa wapenzi na mahusiano:
1. Ukimkuta handsome, mawazo yake yanakuwa ni ya kitoto
2. Ukimkuta genius…yuko serious masaa 24 na wengi huwa hawako romantic, hawajipendi kihiivyo, wako rafu mno.
3. Ukimkuta tajiri, hawezi kukuheshimu utamkuta madharau, utamwambia nini wakati hela anayo bana.
4. Ukimkuta mfanyakazi hodari na mtafutaji, hana muda wa kuwa na wewe yeye muda wote anawaza kazi na kutafuta maisha
5. Ukimkuta mnyenyekevu…mfukoni huwa 0%.
6. Ukimkuta anayependa kwa dhati…anakuwa siyo type yako..hana pozi zile unazozitaka.
7. Ukimkuta msomi hasikilizi ushauri wako..anakuona boya tu.
8. Ukimkuta yule smart ni muongo to the maximum na player.
Binafsi naona uongo tu sio kweli hizo iman tu. Me mbna handsome ila very intelligent [emoji851]
Kujisifia handsome ni kidhibitisho tosha kuwa wewe una mawazo ya kitoto. So, usisubiri wadada kuja kujibu.
Huyo namba 6 ameshanikuta sitaki hata kusimulia
Aiseeee..yuko wapi now...!Namba 2 sio kweli...ex wangu alikuwa genius mixer very romantic mixer very smart halafu so handsome
Aiseeee..yuko wapi now...!
Uko single..now.Sijui yuko wapi sasa hivi,sijamuona kama week mbili hivi
Woooohhh gudAigooooooooo!
Hapana sipo single
Wazee wa kupiga menyu nzitoSishangai coz wewe ni msukuma
Wale tulowapata mahandsome, workholic, waaminifu, wanajali tuna comment wapi
Wazee wa kupiga menyu nzito View attachment 1113278
Wozaaa🔥🔥inshort ni konkiiNamba 2 sio kweli...ex wangu alikuwa genius mixer very romantic mixer very smart halafu so handsome
Yaaaaas!😅😅Wozaaa🔥🔥inshort ni konkii