Wanawake: Michepuko chanzo wanaume kutowajibika

Jeanclaude

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2013
Posts
259
Reaction score
238
Nilikuwa kwenye baa Fulani jijini hapa jana. Katika hiyo baa kulikuwa na wanawake wakipiga stori kuhusu maisha ya mahusiano ya wapenzi katika ndoa. Kuna mmoja alikiri kuwa wanawake wanaongoza kwa michepuko, ila kutokana na usiri walionao pamoja na sababu za kibaolojia, huwa ni vigumu kugundulika tofauti na wanaume ambao huonekana kukosa hamu baada ya kuchoshwa michepukoni.
Sababu zilizoelezwa kama chanzo cha michepuko ni pamoja na; wanaume kuchelewa kurudi nyumbani, kutoridhishwa na ubize wa wanaume. Ushauri kwa wanaume: Tuwajibike ama sivyo tutawaolea wengine, mbaya zaidi kuzingiziwa watoto wa wanaume wenzio.
 

hivi nyinyi mnatokeaga wapi.....!!!!!!!!!!???????????
 
Mmeshauriwa kuanza kutumia ARVs hata kama hamjaathirika bado..

Power to you now!
 
kuna wengne hata ufanye nin lazma achepuke tu, kuchepuka kuko kwenye damu
 
Asante kwa ushauri,mie naanza leo kujirekebisha.
 
Mmeshauriwa kuanza kutumia ARVs hata kama hamjaathirika bado..

Power to you now!

= Nguvu ni kwako na sio Kazi ni kwako

Hapa voda walichemka kwakweli
 
= Nguvu ni kwako na sio Kazi ni kwako

Hapa voda walichemka kwakweli

hahaaa! mkuu nawe, is problem english or me? you twin dont come on my head! huhuhuu!

shwari lakini pacha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…