Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,786
- 189,306
Wakuu kuna hii information inatrend kwa kitaa yani kwa washikaji na maninja nadhani mtanielewa kuwa hawa manzi/warembo/watoto wazuri/ wanawake wanaoandikia mkono wa kushoto ni hatari sana kitandani huwa wana maufundi naturally. Kwa wakongwe hebu jaribu kushare uzoefu maana hapa najiandakuingia field ili ni prove haka ka opinion.
Nawasilisha wakuu kushare ma experience.
Nawasilisha wakuu kushare ma experience.