Mimi nina vyo fahamu kuna aina 3 za wanaume
1.Handsome
2.Smart
3.Ordinary
4 Ungly
Sasa hapa tunawagawa tena
1.Handsome but not smart
2.Smart but not Handsome
3.Ordinary not smart not handsome
3 Ungly Rich or Poor
Wanawake wangi wanapenda kuwa na wanaume Handsome
Asilimia inayofuata wanapenda wawe na wanaume smart
Wachache wanaishia kuwa na wanaume Ordinary ambao ni wengi ya wanaume wako hapa
Ungly! Ni wanawake wachache sana wapo tayari kuwa na mahusiano na wanaume wenye sura mbaya! Yaani wanaume wasio na mvuto na ukikuta mwanamke ameolewa au ana mahusiano na wanaume wa aina hii ujue kuna mawili
Kafuta pesa huyo mwanaume ana hela
Pili huyo mwanaume ni maarufu mwanamuziki, mwanasiasa, mwanamichezo etc.
Hakuna mwanamke wa leo hapa duniani yupo tayari kuolewa au kuanzisha mahusiano na mwanaume katili mkorofi ambae hana sifa kati ya hizo nilizo orodhesha hapo
Mwengine aongezee kama anazo
Sent using
Jamii Forums mobile app