PlayBoyMwema
JF-Expert Member
- Jul 27, 2014
- 1,714
- 1,821
Exactly umeongea kitu apooHao wanawake wa kizamani mkuu.Hivi sasa wanapenda wanaume wenye pesa
Labda awe kibakaWe hujawajua hao watu bado! Uwe mkorofi kama Yule Rais was Korea(kiduku) halafu uwe huna pesa ndio utajua.