kuimba kwaya ni kazi ngumu kweli, naona kila mmoja anajitahidi kuliweka koo lake sawa!
MBona wachangiaji wote munawaza ngono tu. Hapo ni machungu ya kujifungua!
Kumbe macho yangu hayana makengeza! Nami nilikuwa najiuliza mbona kama wako labour?
angalia picha ya pili mstari
wa kati (3) utajifungulia kinyumenyume /mgongo juu hata km ni labour
za operation za siku hizi NO
Hapo ni CHUMA CHIKALI KUMOTO ndio unaweza sikia chorus tena sauti ya
pili na ya tatu
si asavali ya hao wanaonesha hisia kidogo (hata kama ni za uizi)..wanawake wa kibongo wakati mnatiana anakutolea tu mimacho kama kambale..!
sasa hawa wanaimba nyimbo gani? Mbona wamekunja Nyuso zao?Mkuu Mbuzi Mzee
Jamani mi mbona sijaelewa? Au wanakata gogo.