Nadhani hata mama mzazi ni muuzaji kwa baba mzazi na wa kamboWanasema, ukitoa mama mzazi, kila mwanamke anauza. Kinachotofautiana ni namna ya uuzaji...
Duh! Basi tuseme kila mwanamke, isipokuwa wale masista anauza... Kinachotofautiana ni terms and conditions of sale!Nadhani hata mama mzazi ni muuzaji kwa baba mzazi na wa kambo
Ukishaoa unapata bureeeee ee.hamna cha mbali wala nini.usioe addicted ATM user tu.Kwanini kiliwekwa mbali kama ni rahisi kungekuwa kwenye paji la uso ama kiganjani
Yaani huwa mnanichekeshaga mnavyotuponda ke humu wakati mna mama zenu, mnatusonta kwa kidole kimoja ilhali vinne vimewageukieni, wapo wasiouza na wapo wauzaji japo wauzaji ni wengi kwa sasa kuliko wasiouzaDuh! Basi tuseme kila mwanamke, isipokuwa wale masista anauza... Kinachotofautiana ni terms and conditions of sale!
Ingekuwa kwenye paji kusingekuwa na mashindano ya urembo ya nchi wala dunia!Duh i can imagine mngekuwaje!Kwanini kiliwekwa mbali kama ni rahisi kungekuwa kwenye paji la uso ama kiganjani
Sh.ngap unauzaMauno na manjonjo hayapatikani bure kwa hiyo lazima mlipie
Mshahara wako wa miezi 10Sh.ngap unauza
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwanini kiliwekwa mbali kama ni rahisi kingekuwa kwenye paji la uso ama kiganjani
aiseeehMauno na manjonjo hayapatikani bure kwa hiyo lazima mlipie
Acheni watutoze ndio rasilimali yao. Kwani nchi kwa mfano, makinikia, Tanzanite, almasi, gesi nk. tulivinunua lini? Kwani zinagawiwa bure? Ila wakumbuke vina expiry date/vinakwisha utamu na vikiisha tunahamia kwenye vipya, pesa si zetu bwana.Hivi kuna risk gani mtakayopata mukitoa bure mlichopewa bure?, hiyo moja, mbili kama mnazani ni sahihi kuwatoza wanaume wanapoitaji Mbunye njooni hapa na majibu yaliyoshiba vinginevyo itakuwa munamkosea aliyewapeni bure.
Aidha kama ni suala la nani anaeona utamu zaidi baina ya ile kitu inamesa mesake na ile ingine inayomeswa, kwa nini nyie mnakuwa wakwanza kutoa mgumio wa Ngurue kwenye shamba la miwa??!, je tukisema nyie ndio mnaongoza kusikia utamu zaidi yetu na hatua zenu za kutoza ni sawa na kumkosea yule aliyewapeni bure itakuwa tumeongopa??.
Wanawake hacheni kutoza mlichopewa bure kwani kufanya hivyo munajisababishia matatizo yasiyokuwa ya ladhima.
Ni hivo tu.