Wanawake Kwa Hili Mnakera

"boys will always be boys"
Wewe unaumwa kabisa.
Yani mfate we mwenyewe alaf una mnanga.
Acha utoto.
 
Tahadhari ya virus uliichukua lakini? Maana c vyote ving'avyo ni dhahabu!! Kazi KWAKO.
 
Noma sana hii... Nyie madada nanyi kuweni wagumu kidogo hata kama mna nyege ona sasa jamaa kamuanika huyu.. Forty minuts
 

Pamadaku
 
Darn! Hell ain't got no fury like a woman scorned!! Kaka naona you are feeling the wrath of pissed off ladies here at JF. Sikia dude, wewe ungekamua tu huyo demu kimya kimya. Hakukuwa na haja ya wewe kumsema dada wa watu vibaya na mbaya zaidi kujumuisha wanawake wote kuwa eti wanaweka punani zao mezani. Si haki. Sijui unatoka na wanawake wa sina gani. But truth be told, classy women do not beat around the bush. If she digs your style she lets you in. Haina maana ni Malaya, la hasha. Watu wazima hufanya mambo kwa makubaliano.

Women are more complex than you think. If you spend too much time trying to understand them, you will only go nuts my friend. Wakati unamtongoza huyo dada wa watu ujue kuna njemba zinatongoza mchumba wako pia. It's a two way street kijana. Ukiamua kuwa katika game kubali mengi. But stop mudslinging all women based on one lady who did nothing wrong but give in to you. Angukupiga kimondo ungesema anaringa. It comes out as petty and high school-ish!
 
Wewe ndio unakera dizain sasa kwa nini ulianzisha mada ya mapenzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…