Wanawake Kwa Hili Mnakera

wanakera pale utakapogundua kuwa aliyekuwa akitongozwa na kuingia king kirahis ni demu wko
 
To me u dont sound reasonable!
Yaani umemtokea mwenyewe halafu unakuja kusema huku bila aibu eti story ziliniishia! Yaani dume zima na ndevu kiunoni kwa hiyo kila story zikikuishia ukiwa na mwanamke unatongoza? Mara ooh wengine hatupendi kucheat! Sasa ulimtongoza wa nini we kavulana halafu unakuja huku kumuanika? Kojoa kalale na kesho uhamie Fb.
 

Si ajabu na yeye alikushangaa kwa nini uliamua kuanzisha utani wa aina hiyo...naye akakubali ili akuchore! Huenda hata yeye ametoka na conclusion kuwa wanaume si waaminifu kwny mapenzi kwan mtu aweza kuwa kwny relationship na bado akawa na tabia za ajabu kama za kwako. Kwa hiyo nyote mmeshangaana!
 
Cjaelewa ulikua unamaana gani? Mi nilijua amejitongozesha kumbe mavmav tu
 
Huyu ni mlinzi. Eti ohhh jengo letu lilivyo ukitaka kutoka lazima upitie dept yetu.
Dada wa watu amemuhurumia, unajishaua.lol

Ahahaaa halafu kweli.ndo maana anaona ajabu kutongoza staff
 
Hivi kumbe hata wanaume nao wapo maharage ya mbeya?
 
mi sijamuelewa bana, lakini ndio hivo tena kuna watu huwa hawaoni makosa yao ila wanaona makosa ya wengine tu.

hivi unajua kwanini nakupenda DEMBA? una akili sana mpenzi. Ngoja nikuPM ni kuambie kitu kizuri na kitamu
 
Mmhhhh ngoja ninyamaze tu mie kumuanza umuanze mwenyewe sie utujumuishe pia kwani yeye hana nyege sio kila mwanamke ukimtongoza akakubali anakupenda au kakuzimia mno muda mwingine tunahitaji kupunguza nyege tuuu wala hatuna mpango wa kudumu
Umetisha aisee......!kumbe na hii imo....?
 
Kutongoza na kutongozwa / kukubaliwa na kukataliwa mbona mambo za kawaida sana...next time u need not to put it this much big............!mwanaume sometimes unasoundisha ili kujenga heshima tu kama mazoea yanazidi na si kila ukitongoza lazima uchape...............so hata ilipoishia ungepiga kimya tu na ingekuwa mia................!
 
you mean mila zinafundisaha mwanaume kumtry mwanamke yeyeote hata kama yuko engaged kwa mwanamke mwingine?zinafundisha mwanaume a play na feelings za wanawake so easily like that?kama umemnote vilivyo PetCash utagundua kwamba ulichokuwa unajaribu kukifanya ni kama kucheza na hisia za mtu mwingine perhaps she was badly waiting for that chance who knows???????????????
Ndugu yangu mila zetu hazitufundishi mwanamke kujilegeza kiasi hiki. Raha ya mwanamke akupe tabu sana. Tena ushindwe mpaka upeleke barua ya posa nyumbani kwao. Sawa mimi huenda nimekosea kumtongoza ila yeye ka compund kosa langu mara nyingi zaidi.
 
Last edited by a moderator:
mtcheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeew
wewe mwenyewe hamnazo kweli. Unafanya majaribio kwani hapo laboratory alaaa
 
mtcheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeew
wewe mwenyewe hamnazo kweli. Unafanya majaribio kwani hapo laboratory alaaa
haaa haa haa huu uzi ni funga mwaka kwa kichambo. ningekuwa ndio mimi mleta mada ningewaomba mod wautoe,
 
Me370 pamoja na kuchana karatasi lakini sijaelewa hasa ulikuwa unataka kusema nini? Kwamba huyo mwanamke ndio chanzo cha majaribu yako au wewe mwenyewe?

Binafsi naona kila mwanaume ana wazimu wake. Kama kweli ulikuwa msafi kwa nini usianze kumuhubiria neno la mungu sheikh? Wewe ndio miongoni mwa waleeeeeeee. Ni hayo tu mkubwa mwenzangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…