Wanawake Kwa Hili Mnakera

halafu huyu mtoa mada atakuwa kitombi sana. hii sio mara yake ya kwanza kuleta mada za hivi. mie ngoja leo nisichangie. teheeeeeeeee!

Haya basi wanawake wote nawashauri mseme ndio kila mnapo-tongozwa. Huo ndio mwenendo mzuri. Gaweni K kama pipi.
I'm out .....
 
Duh!Mleta mada alikuwa na maana gani hasa???Hujamtendea haki huyo dada kwa kweli.Wewe ndiye unatakiwa ujitathimini, kama ni kukera umekera hasa.Tena mmepeana na namba za simu, una mchumba, halafu unamlaumu??!!
 

Wewe umeangalia upande wako,na side yake je?kama anakupenda kikwelii??acha kucheza na hisia za watu wewe

Ama kweli mchumba wako ulomchumbia..KALA HASARA!!
 

Nimeipenda na umetumia busara sana. Daaa!!! unafanya vizuri inabidi nikutafute unipe maushauri ya binafsi. lol.
 

Hey ... girls girls girls ............
Mbona mmekuwa wakali hivyo kuna uabaya gani jamaa kuueleza ukweli huu
Ombi langu kwenu punguzeni hasira basi ili maongezi yanoge
 


Asante!!!
 
na unamuita malaya!!? Sjui kwanin wanaume hatuna shukran. Wakichelewa kujibu/Wakikataa wanaringa, wakikubali malaya
 

well said.....
 

Usirudie kuchezea hisia za watu
 
Honestly speaking sipendi wanaume wa design hii. Maringo na dharau kwa wanawake. Sasa angekupita ungesema anadharau wakati mnafanya kazi sehemu moja. Kakusikiliza badala ya kuongea mambo ya msingi unamtongoza. Ungekua we wa maana ungeongea vya maana. Huyo mchumba wako kala hasara.
 
wewe mwenyewe baba huruma
hujioni unaona wenzio mxiuuuuuuu!!
 
Kaoge Maji ya bahari, umepakwa kinoma noma!
 
Huyu ni mlinzi. Eti ohhh jengo letu lilivyo ukitaka kutoka lazima upitie dept yetu.
Dada wa watu amemuhurumia, unajishaua.lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…