Wanawake Kwa Hili Mnakera

Duh leo utaua mtu....
 
Kila kitafunwa na kinywaji chake its no longer a dream.
 
mi simuungi mkono huyu anakimbia ukweli............if we are to change truth must be faced!

we kamuunge mtoa mada kwa sababu hayo ndo mambo yenu... wewe kwa nini utongoze wakati hupendi me naona ni ujinga huu
 
Reactions: LD
Ha haaa on a serious note ni kweli ? lol...

Kweli wapi huyo nadhani hata ukimuona kwa macho huwezi simama, huenda hata huyo dada alisimama tu kwa kuwa ni mtu wa ofisini.............Mwanaume kichwani sifuri yenye masikio.............kumbafu sana
 
miss chagga umepanick sister
 
Last edited by a moderator:
Umemwonea na hujamtendea haki huna hata ababu ya kusema angekubali, h
prejudgments ni mbaya sana eti
 
yaani basi umejiona mjanja?

mbona mambo madogo sana hayo, wewe unadhani amekupenda ?

si ajabu hata hujamvutia, maybe she is just bored na anataka mtu wa kupaass nae time tu na ndio maana hajali hata kama ungekua na mke sembuse mchumba.

utakua mtoto mdogo sana wewe
 
Ntumie nmb yake
 
Kweli wapi huyo nadhani hata ukimuona kwa macho huwezi simama, huenda hata huyo dada alisimama tu kwa kuwa ni mtu wa ofisini.............Mwanaume kichwani sifuri yenye masikio.............kumbafu sana

halafu huyu mtoa mada atakuwa kitombi sana. hii sio mara yake ya kwanza kuleta mada za hivi. mie ngoja leo nisichangie. teheeeeeeeee!
 
Reactions: LD
Wee nawe....kwa hili unaloongea wewe ndio umejiona maharage ya Sumbawanga? Nawe barabara hiyo hiyo, maharage ya Mbeya 100%...ungekuwa kaka wa maana na busara wala usingethubutu kuanzisha mazungumzo hayo ya 'ziada'.....

Next.....
 
Usiseme vitu kwa kuasume ning eendelea ingekua ivi.... na u never knows na yy kakuchukulia bwegemtozeni kama ulivomchukulia ww ningeamini zaidi kama ungemaliza kila kitu..... acha kutudharirisha mkaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…