Wanawake Kwa Hili Mnakera

Hivi una uhakika huyu dada uliyemwandika hapa na yote yaliyotokea sio member humu JF. Je kama ni member halafu agundue what you discussed in private is now made public si atakudharau mpaka basi?

Nina wasiwasi hii ni story ya kutungwa.

Tiba
 
nimependa busara zako
 
I js hope ur fiancee ana tabia ka ya huyo dada,uko busy kumshawishi dada wa watu kaa ukijua kuna wajanja nao watamgegeda ur girl huko aliko...u dnt knw wht she hs been thru,dn judge her had mwanamke anafikia stage ya kugawa K hvo..SHE GT NOTHING TO LOSE ANYMORE..
 
Ndugu yangu mila zetu hazitufundishi mwanamke kujilegeza kiasi hiki. Raha ya mwanamke akupe tabu sana. Tena ushindwe mpaka upeleke barua ya posa nyumbani kwao. Sawa mimi huenda nimekosea kumtongoza ila yeye ka compund kosa langu mara nyingi zaidi.

Mkipewa tabu mnakuja kulalamikaa hapa ooh wanawake mnakeraa tunatumia kila njia pamoja na pesa zetu zote kuwafatilia bt mwishowe mnatupiga chini ,mkirahisishwa mnaanza ooh maharage ya mbeya na songea...Mbona wanaume mna visebusebu na viroho papu....
 
Ningekuwa na uwezo ningekupa bahari yaani unapangilia maneno yako hkurupuki aisee,yaani safi sana
 
Nimefurahi ulichoandika umenifanya nione tofauti kubwa na jinsi nilivyokuwa ninawafikiria wanawake wa aina hii. Thanksss for your time.

wewe nawe hupendi tuu kuufikirisha ubongo wako,

haya mwenzio kaufikirisha natumai kakubadili mtazamo, jifunze kufikiri nje ya box.
 

Pimbi kweli ww, eti wanawake tunaweka K zetu mezani shenzi ww uliweka nn kwenye kiti p.u.m.b.u au bichwa lako? Ww ndo harage la mbeya kama una mchumba wako ulianza anza vipi kujirahisisha kwa huyo dada wa watu? Namsikitikia kweli huyo mchumba wako, hauko serious kabisa ww
 
Yaani unatongoza mwenyewe, unakubaliwa kisha unakimbilia JF kuja kubwabwaja........:banghead:
 
Kumbafu zako, na nilikuwa nakuchora tu, mpuuzi mkubwa wewe, mshamba wakutupwa, huna haya wala hujui vibaya. Na nilikusikiliza huo upumbavu mpaka nikuone ulivyo mjinga............Yani huna hata akili moja............ptuuuuuuuuuu ana shida huyo anayekubali kuolewa na wewe. Pumbafuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
 
Watu wengine bwana sasa kama na yeye alikuwa kila siku anatamani apate hiyo fursa kila anapokuona na ukampa na akaitumia vizuri why uanzae kumuona Malaya ? Angekataa ungekuja kutumbiaje hapa jukwani ? kwamba anaringa au ni mshamba ? aaargh..... Jamani Girls to have feelings and wishes lets not abuse them.....
 


Ha haaa on a serious note ni kweli ? lol...
 
Reactions: LD
Na nyie wanaume ni washenzi tu tena mnakera!

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Reactions: LD
ungepewa k nadhani na picha ungeweka kabisa
Namwombea msamaha huyu ndugu maana sisi wanaume chovya chovya huwa hatuna maana kwani KE akikataa shida akikubali shida vile vile. Akikataa anasema kwanza mbaya, anaringa wakati hana lolote kama GF wangu (ingawa kamwanza yeye). Akimkubali baadala ya kumshukuru kwa kutompotezea muda wa kuomba mpaka atoke jasho la damu-anamwita maharage ya mbeya. Jamani tubadilike tuwaheshimu hasa ambao hawataki kutusumbua na kama humtaki usimwombe acha wengine waombe waliosiriasi.
 
Roger that....wakibadilika hata uzinzi utapungua
wewe na mleta mada wote amanazo kama asingemtongoza hayo yangetokea wapi? nyie ndo mfunge midomo yenu si kila sahani ya chukula lzima utie mkono....
 
Reactions: LD
Kuna mijanaume mingine wanajiona vidume sababu tu wanamikia mbele lakini kichwani ni 0=0 shwaaain!! Rudi huku wewe mtoa mada ujibu mashambulizi!! Umeamusha waliolala eeeeh!!...upo wapi bibie lara 1 em njoo mpe makavu huyu bwana nimekumisi kweli!! Hahaaa!!
 
Last edited by a moderator:
kutongoza utongoze wewe alafu wewe ndo ikukere wewe utakuwa huna akili sawasawa kwa nini utongoze usichopenda ..... wewe ndo unakera kujpeleka peleka kwa wadada ovyo ovyo ndo ukomeeee..... cheap boy ndo maana akakukubali.............. mijiananume sijui ikoje
 
Reactions: LD

nakuunga mkono 100%...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…