Wanawake kwa hili mnafeli!

Wanawake kwa hili mnafeli!

Wanawake ni nani aliyewadanganya kuwa mbinu ya kumpata mwanaume akuoe ni kumtegea mimba!!?

Nani aliwaambia wanaume wanataka ndoa? tena za kuparamia bila mpangilio?tena mbaya zaidi kutaka kuwashirikisha hadi ndg kumtambulisha mwanaume bila mpango!yaani nyiee!!

Nani amewaambia kumtambulisha mwanaume kwa shost zako ndio mwanzo wa ndoa???!au kujuana na Mama mkwe?mtaachwa nyie

Nani aliwaambia kumsumbua mwanaume kwa text na calls zisizo na mpangilio ndio tayari umempata mume?au kuweka picha yake dp na status!?

Na yapo mengi,kama una tabia hizo ziache mara moja..la sivyo baadhi yenu mtazeekea kwa wazazi/ndugu zenu.

Nalala.

Sent using Jamii Forums mobile app
Usisahau kulazimisha kukuita MUME mbele za watu wakati hapa mahali mwanaume hujafikiria kutoa.
 
Wanawake ni nani aliyewadanganya kuwa mbinu ya kumpata mwanaume akuoe ni kumtegea mimba!!?

Nani aliwaambia wanaume wanataka ndoa? tena za kuparamia bila mpangilio?tena mbaya zaidi kutaka kuwashirikisha hadi ndg kumtambulisha mwanaume bila mpango!yaani nyiee!!

Nani amewaambia kumtambulisha mwanaume kwa shost zako ndio mwanzo wa ndoa???!au kujuana na Mama mkwe?mtaachwa nyie

Nani aliwaambia kumsumbua mwanaume kwa text na calls zisizo na mpangilio ndio tayari umempata mume?au kuweka picha yake dp na status!?

Na yapo mengi,kama una tabia hizo ziache mara moja..la sivyo baadhi yenu mtazeekea kwa wazazi/ndugu zenu.

Nalala.

Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu
YAMEKUKUTA AU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe hutaki kuitwa majina mazuri ilhali mko kwenye mahusiano? Tena kila siku unamwambia unampenda! Ataachaje kukuita hivyo na kukutambulisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa baharia mpunguze kuparamia kuna watu wana uchu na wanaume,
Siio lazima kua kwenye mahusiano kama hujui maana ya mahusiano
 
Back
Top Bottom