Wanawake kuweni wasafi basi!

"au labda amevurugwa na aliyempenda hivyo akaamua kukata tama"
wadada huwa tunajitahidi sana kuwa wasfi, ukikuta baadhi kama huyo ulokutana nae mara nying wanakua hawajitambui na hawapendi kujifunza kutoka kwa wenzao
 
Sasa huyo mmoja ndio umetujumuisha wote,wengine hayo manyoya kwetu mwiko kuyaacha,tukishamaliza kuoga twapaka kwapani kitu kinaitwa secret au mitchum yaan hata ungekimbiaje au ufanye kazi muda mwingi juan harufu ya kikwapa utaisikia kwa jiran
Hizo deodorant nilizozitaja hapo nadhan kwa miji mikubwa kama Dar inapatikana ,ukishindwa bei unanunua hata zile za 4000 jaman

Halaf swala la nywele kikwapan hata wanaume mnyoe hayapendezi,au yale manyoya ya mwili mzima yanaboa tena yawe kipilipili lol siyapendi,
 

Mitchum na Secret zipo Dar? Mi naonaga Nivea na zingine zingine za Kichina.
 
Kitu kingine uta muona mwanamke amependeza sura imeoshwa vizuri na kavaselin kana waka.
Angalia miguu,balaa hamu yote inaisha.

Miguu itaacha kuchafuka kutembea kwa miguu mchezo!
 
Mitchum na Secret zipo Dar? Mi naonaga Nivea na zingine zingine za Kichina.

Umeona eee hapa Mwanza sijaziona kabisa,mi ndio hua natumia hizo mpenzi wangu yupo huko ulipo U.S.A huniletea kibao maana hua hatak harufu ya kwapa kabisa,isije kua ni wewe maana humu kila mtu hajui jina la mwenzie lol

Na zile za kiume degree hunukia poa sana,we hutumia ipi?
 

Mi ndo mpenzi wako...hahaaa won't that be something!

Degree ndo zenyewe hasa zile Adrenaline Series zenye motion activated protection.

Right Guard na zenyewe ziko poa sana.

*** nazo bomba pia.
 
Mi ndo mpenzi wako...hahaaa won't that be something!

Degree ndo zenyewe hasa zile Adrenaline Series zenye motion activated protection.

Right Guard na zenyewe ziko poa sana.

*** nazo bomba pia.



mnhhh.....
 
Mi ndo mpenzi wako...hahaaa won't that be something!

Degree ndo zenyewe hasa zile Adrenaline Series zenye motion activated protection.

Right Guard na zenyewe ziko poa sana.

*** nazo bomba pia.

Yeaah hizoo hizoo ziko poaa ile mbaya,
Nimekutania wangu yumo jukwaa la siasa tu kwingine huwa hakanyagi kabisaa
 

Siyo busara kujumuisha wadada wote kwa mmoja ulokutana naye
 

Ha ha haaa!!! Kunammoja enzi za ujana wetu nilimnunulia yolanda
 
Mwambie atumie mualovera kwa kuondoa harufu
 
Ngoja nikakope deodorant alafu nioge.
Kidevu ntashevu nikinunua sukari ili nitengeneze wax.

Hahahaaaa, madem watafutaji kama WANGARI M. Ukiwa smart na una cash ina count so much.
 
Kwahiyo wanawake wote wako hivyo? I think the topic is too general.
 
yawezekana wewe ndio ulikuwa sababu ya yeye kulowa chapa chapa! usimseme tu mdada wa watu bila kujitazama na wewe!

kuna watu mjini hapa wako kama jua vile, harufu mbaya kama beberu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…