Habari wana jamvi.
Wiki kama mbili zilizopita, niliandika nikitafuta mke wa kuoa. Nilipata wawili, lakini niliona mmoja ananifaa zaidi na tukaanza process.
Ajabu saizi anautesa moyo wangu kwa hapokei simu,hajibu massege na maudhi mengineyo, sasa kama mtu unakua hauko sirias, better you leave.
Hulazimishwi jaman. Ila bado nakarbisha kwa walioko na nia ya kweli, umri kuanzia 28yrs, akiwa na mtoto 1 ni poa tu, na hasa mkristo.