Sosthenes Maendeleo
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 2,741
- 1,723
Jamani wana JF mimi nina kaka yangu anaishi hapa mjini.
Nimekuwa na tabia ya kumaliza likizo nikiwa kwake, ila siku hizi sielewi ni kwa nini.
Maana huyu shemeji (mke wake) amekuwa anapenda sana madawa ya waganga wa kienyeji (matunguli). Yaani kila sehemu ni tunguli tu sio ndani sio nje. Siku nyingine ukitaka kuoga unaambiwa ogea ndoo beseni niliogea dawa usiku.
Nimekuwa na hofu kubwa sana, kwani kaka hajawahi kuongelea hiki kitu na mimi nasita kumwambia maana nae anamacho.
Pia kaka amekuwa na safari nyingi zisizo na likizo na michepuko mingi balaa.
Naombeni mnipe ushauri maana naona pia naweza kuachiwa K kizembe mimi nipo single jamani