Wanawake: Kunawa sio kujisafisha

Wewe ni me au ke? Umeambiwa nakuchukia nakufahamu sasa[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] nawe
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] na ulivyojibu sasa uwiiiiiii

Kwa ufikiliavyo wewe Go mi num mimi ni jinsia gani?

Nauliza tu
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] na ulivyojibu sasa uwiiiiiii

Kwa ufikiliavyo wewe Go mi num mimi ni jinsia gani?

Nauliza tu
Humu watu wanatumia majina ya kike wakati ni wanaume na yakiume kumbe ni wakike we jibu tu jamani
 
Hiyo kujisafisha yenyewe kiasilia yahitaji maji ya aina moja lakini za hivi sasa mara Hamisi, mara Juma mara Charles mara John usafi wake lazima uongezee na visafisha sio ile ya asili.
 
Huyu daktari gani alokufundisha kama huko kwa bibi kunaingizwaga mavidole?????Rudi muulize tena
Mnapaniki bure bila utafiti dushe mbona inausugua uchi mpaka unawaka moto hilo hamlioni? Nendeni Tanga mkapate ujuzi
 
Sijui mmelitafsirije hili lakini wenye kunielewa wamenielewa
 
mh! nimezama kwenye ukumbi wa watu wazima acha nisepe kabla sijapofuka!.....
 
Tupe experience yako huwa unasafishaje?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…