Wanawake kumbukeni wanaume nao ni binadamu

Wanawake kumbukeni wanaume nao ni binadamu

Aisee aliyesoma mpaka mwisho anieleze kwa kifupi!!
 
Sisomagi matopiki marefu hivi. Bora nikasome gazeti la Heko
 
Yaani Uzi mrefu kweli kisa Papuchi za hawa viumbe tulioumbiwa!

Hawa wanawake tumeumbiwa sisi wanaume.
Acha kuhuzunika.

Ulichosema ni ukweli kabisa ila kumbuka tu
"Wanaume tumeumbwa Mateso na kuhangaika".
 
Nyuzi ninazofungua yan ni ndefu tu
 
pambana na hali yako mkuu make your life better watakuja tu
 
Back
Top Bottom