Goliath mfalamagoha
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 601
- 2,508
JAMANI WANAWAKE KUNA MDA MNATAKIWA KUWAHURUMIA WANAUME KUMBUKA NA WAO NI BINADAMU .
Simu za kichina bhana ona nilichoandika sasa.
Yaani wanaume wananyooshwa kama MANCHESTER UNITED inavyokula kichapo cha mbwa koko kipindi hiki, mwanamke unatoka nyumbani umebeba kipochi umevaa wigi la marehemu uko brazil uku mwanaume anakusubiri, unachukua pikipiki 3000 analipia mwanaume ,asubuhi alikutumia 25000 ulisema hujasuka ,jana ulisema huna hela ya kununua nguo kidume akatuma 60000, oke ukamwambia huingiagi gest maana wewe mke wa mtu jamaa akakodisha Motel ama Lodge ya 50000 kwa siku, haya kweli ukasema hujala njaa inakuuma ukaigiza chakula cha 30000 changanya na vinywaji jamaani tumekosa nini wanaume mimi nahisi ile laana inayosema tutakula kwa jashoo ilikuja kueditiwa maana huu msoto tunaokula kutoka kwa kina dada doh.!!√√
hujanywa maji hayajatuama tumboni hujakaa sawa mwanamke unamwambia jamaa hujaacha hela ya kula nyumbani hivyo huwezi kufanya mambo mpaka nyumbani mambo yakae sawa, basi jamaa anaamua kutoboka 30000 utume kwenu unampa uroda kwa kuibiaibia ibia na makisi ya kifilipino then unamwambia afanye haraka maana mme wako atakuletea shida jamaa kwa kuwa katoboka anapiga mtungo fasta tena kinyonge anamaliza afuu anakuruhusu na anakupa 5000 uku unampa busu zito unamwambia utampa mapenzi ya moto moto asiwe na wasi asijali basi jamaa anabaki anakenua meno kama kaona wazungu wanakula mahindi ya kuchoma , oohh jamani jamani nyinyi wanawake nyinyi kweli mnatuweza masikini ndiyo maana wanaume tunakufa mapema oohh jamani wanaume poleni sana haya mnayopitiaa doh wanawake wa siku hizi wanacheza kama barca mara huku mara kule umeliwa .√√√√
Kamaa kuna zawaidi tulipewa basi ni mwanamke nahisi tulipewa zawadi hii ili tunyooshwe na kweli tunanyooka, onaa jinsi SAMSON alivyo pagawa kwanza ,jitu kubwa lenye miguvu duniani hapana tokeaa ,alikuwa anauwa watu vibaya muno lakini cha kushangaza hakumuua Delila isipokuwa delila alimuua samsoni kwa kumtiaa mtegoni kwanza sinema inaanza wahuni wakatoaa macho ya samsoni yote mawili ,oohh jamani wanawake tuoneeeni hurumaa mnatumalizaa wenzeni ,yaani sisi wanaume tunapokuja kwenu tunakuwa vimeo yaani tunakula kama misukule hakikaa nyie ndio mnaitawala Duniaa kwa sasa ,kaahh wanawake hamkupaswa kuishi hivyoo hakikaa nawaambieni tena nikikumbuka jinsi MUGABE alivyokuwa anataka kuhonga nchi ya zimbabwe kwa grace hapa ndipo napoteza network kabisa yaani mlipaswa muwe mnashindiaa keki tu na nyama ya kuku afu mnashushia na diamond karanga,POPOTE MLIPO INGIIENI BANK TOENI MINOTI PASSWORD NI 40FKibiti56 , maana nyinyi ni kiboko ya mabishololo wote mijini .√√√
Bila mwanamkee mwanaume asingekuwa anaogaa hata miaka 20 au 50 inakatika jamaa hajaogaa ,sasa anaoga ili iweje kwa mfano ,sasa unaoga ili ugundue nini kamaa si uchuro ,hivi nani angekuwa anathubutu kuogaa nauliza..?? lakini Mwanamkee anatufanya leo tunaoga kila siku daaahh wanawake mmetisha kwa kweli kweli mwanamke kiboko ya mwanaume yaani atufurukuti kabisa kwa hawa ndugu zetu ,naona kuna watu mnabisha wewe bisha tu lakini huo ndiyo ukweli ndugu zangu wanaume ,wanawake kiboko yetuu jamani ,ona leo diamond platnumz na utajiri wote wa billion 16 amekubali matokeo kwamba bila zari yeye ni sawa na kubeti tuu yaani unatumua million 1 matokeo yanatoka hupati hataa 500 .√√
Hivi ni mwanaume gani angekuwa anaingiaa bafuni kuoga isingekuwa mwanamke,mwanaume aingiee bafuni kufuata nini..??wanawake jamani mmetumaliza nafsi mwili na roho wanaume vibayaa mnoo yaani heshima kwenu wakina dada popote mlipoo duniaani naomba aigizeni mirinda popote mlipo wanawake billi tutaingiza kwenye deni la taifaa wala hakuna tatizo tutaongea tu na Anko magu, yaani bila nyinyi sisi tungekuwa wapi katika hii sayari hakika tungekuwa hatuendi hata kazini miaka 5 au 10 sasa tunaenda kazini tukafate nini,sasa tunaenda kazini tunahenyeka kwa sababu yenu ,Dahh wanawake nyiee siyo watu wa duniaa hii kabisa yaani mlipaswa kuishi angani mda huu ninavyoongea manano.√√√
NASEMA IVII POPOTE ULIPO MWANAMKE PIGA KELELE maana mnatunyoosha siyo mchezo ,yaani wanaume wamekubali matokeo ,kama mtu anakujengea jumba hilo! ,anakununuliaa mgari huo ,anakufungulia mduka huo umejaa mavitu kibayo!!yaani mwanaume ajitutumuaa kuchukuaa mkopo kwa ajili yako ili uonekane upo mjini kitambo lakini baadae kidogo unamkimbiaa na matusi juu kwamba si lolote si chochote kwanza Anakibamiaa nana mapenzi ya kweli doohh jamani hayo mapenzi ya kweli yapo kweli..??maana mpaka nimekuwa kikongwe najua MWENYE MAPENZI YA KWELI NI MUNGU PEKE YAKE ,dooh!! wanaume hatulali nyumbani tunakesha kama popo au wanga wa sumbawanga kisa nyinyi na bado mnatuambia wanaume wote ni ng'ombe daah jamani nyinyi wanawake mnatukomesha na bado mnaendelea kutufukunyuaa fukunyuaa jamani tumewaelewa hakika mtatutoa nyongo.√√
Eeh kweli mmetukomesha nyinyi.!!,watu wanawasahau wazazi wao hela zote wanaenda kuhonga ,yaani wanawake dawa mnazotumia ni zaidi ya uganga wa sumbawanga ,watu wanachinjana na kunyongana kisa wanawake doohh kweli hakuna mwanaume mbabe kwa mwanamke ,yaani mnatukomesha yaani mwanaume kwa mwanamke ni sawa na mkate kwa chai ,mwanaume anaweza akapiga watu akauwa kisa mke wake ,yaani wanaume wanapomuona mwanamke huwa tunakuwa mapunga yaani tunakuwa kama mazoombie vile ,profesor anapagawa kwa mwanafunzi wake ,doctor anapagawa kwa mgonjwa wake ,wanawana wana nguvuu ambayo siyo ya kawaida ,watu wanafukuzana kazi kisa mwanamke ,mwanamke huanzisha vita mataifa yanapigana mwanamke si mchezo mchezo HESHIMA KWENU POPOTE MLIPO .√√
kwa sauti zenu jinsi zilivyo zinawafanya watu wanakuwa majambazi ,sauti zenu jinsi zilivyo zinawafanya wanaume wanakuwa na mapepo gafra oohh wanawake mnatukamata hatari,ukisema tu nataka gari na nyumba basi mtu anaenda kwenye nyumba ya mtu au gereji anachukuaa gari yaani kama lake anakuletea duuhh sisi wanaume tumekuwa manyumbu,wanawake mnangufu siyo ya kawaida wanaume wenye akili timilifu wanajinyonga tena bila aibu afu kablaa hajanyonga shingo yake anaandika barua usiokuwa na anauani wala sanduku la posta ,anandika tu unajua nimejinyongaa kwa sababu nimeona siwezi kuishi bilaa wewe na wewe umeamua kuniacha,jamani wanawake heshima kwenu mtu anamuaacha baba na mama yake aliyemlea mpaka akakuaa kisa wewe mwanamke ,oohh wanawake mmetushinda tabia piga makofi popote ulipo maana wewe siyo mtu wa kawaida kabisa .√√
Tumetosheka na tumekomaa sisi wanaume jamani ,tumenyoosha mikono yaani mwendo wa mateka ,kama unaweza ukamfumaniaa mume wako na mwanamke mwingine na bado ukamsamehe tena kiroho safi lakini sisi wanaume tukifumaniaa usiku huo huo kibano na talaka juu daahh jamani wanawake" I SALUTE YOU " kama mnaweza kumvumiliaa mwanaume kwa mda wa miaka 30 akiwa hana kitu afu ukaja kuachana naye akiwa amepata kitu yaani nyie mna moyo wa aina yake maana nikisema wa ajabu nakoosea sana ,yaani mmetufanya wanaume mambunyenye kweli ,wanaume tumekuwa hatuna kitu kichwani kabisa maana mkimchoka mtuu mnamwambiaa ana KIBAMIA afuu sisi wanaume tunakubali tunakibamia na kuanza kwenda kwa waganga na kutafuta super shaft ,nasemaa ivii POPOTE MLIPO PIGENI MAKOFI MAANA NYIE NI ZAIDU YA CHUO KIKUU√√
Oohh wanawake ndugu zangu ,afuu siku hizi mnaongea kama watoto wachanga hata kama mnamiaka 50 ,yaani mmetushika mabichwa yetu maana unamiaka 40 unasema wewe bado ni bikra jamani jamani mtatumaliza wote huku duniani hata abunwasi hakuwa muongo ivii ,kwa niaba ya wanaume wote duniani tunaomba msamaha maana kweli mmetukamata maana inafika mda unakuta una namba za wanaume 300 utafikiri unalea kituo cha watoto yatima na hapo hapo mnasema uko peke yako jamani nyie mlipaswa kutengeneza makombora ya masafa ya anga za mbali maana sisi wanaume tunakuwa mazuzuta na kuzidi kuchanganyikiwa kwa sababu yenu,tunaomba muwe na huruma kidodo maana wanawake mnatufunza adabu kweli sisi wanaume .√√√
huu ndiyo ukweli mtupu ,Mungu alitupa zawadi kubwa sanaa sisi wanaume lakini alitupa kama changamoto kwetu ,yaani katika hili hakuna ubishi wala ubabaishaji yaani kufa ufufukee lakini huu ndiyo ukweli ,zawadi pekee ambayoo Mungu alimpaa mwanaume ni mwanamke ,popote ulipoo mwanaume pembeni kuna mwanamkee ,zungukaa hii duniaa yote utaona pembeni kuna mwanamke tena wa kilaa aina ,kira rangi ,walefu wanene wafupi weupe wekundu wanjano maji ya kunde choroko ,karoti ,muhindi,wahindi wazungu wachina na wengine wengi tu ,ASANTE MUNGU KWA KUTUPA IVI VIUMBE SISI WANAUME MAANA BILA WAO TUSINGE CHANGAMKA .√√√
TUMEAGIZWA UPENDO na palipo upendo lazima kuwepo na UVUMILIVU, tupendane hata kama hatuna chochote Mungu anatuma baraka zake sehemu yenye upendo na si vinginevyo ,jitahidi kuwapenda ndugu jamaa na marafiki ,hata nyie viongozi wenye nafasi za juu makatibu ,wakurugenzi wabunge,wakuu wa mikoa ,wakuu wa wilaya , mawaziri,watendaji na viongozi wa taasisi mbalimbali za kidini mabosi na wengine wengi WAPENDENI NA KUWAJALI WATU MNAOWAONGOZA maana vyeo mlivyo navyo ni vya kupewa hamta dumu navyo milele msivimbe sana mkajua mmeyamaliza hapana bado maisha yanaendelea ni vyema kuheshimu walio chini maana bila wao nyinyi siyo kitu tena .
Dont take so siriaz utaumia√√