Mhafidhina
JF-Expert Member
- Feb 6, 2008
- 549
- 23
Hivi jamani ni kawaida mwanamke kudeka deka au ni baadhi ya wengine kujifanyisha tu. Yaani kitu kidogo tu mara atalalamika hivi ...! mara siwezi...! mara nimechoka...! mara hio tuache tu...! mara sitaki...! na mengine chungu nzima...! Je ni kawaida kwa Mwanamke kudeka au sometimes ni kujifanyisha tu...!
Hivi jamani ni kawaida mwanamke kudeka deka au ni baadhi ya wengine kujifanyisha tu. Yaani kitu kidogo tu mara atalalamika hivi ...! mara siwezi...! mara nimechoka...! mara hio tuache tu...! mara sitaki...! na mengine chungu nzima...! Je ni kawaida kwa Mwanamke kudeka au sometimes ni kujifanyisha tu...!
Ndo walivyoumbwa mkuu........hata wakitembea wana mwendo wa kudeka!!
Heshima kwako mkuu! Sidhani kama ni kweli kuwa ndivyo walivoumbwa. Wapo wengine ni wa kawaida sana siyo walalamishi wala hawadeki. Tabia ya ulalamishi na kudeka aidha ni ya kuzaliwa nayo au inachangiwa zaidi na wewe unavyohusiana naye. Kama unamdekezadekeza naye atakudekea tu inawezekana ukiwa haupo anakuwa mtu wa kawaida tu kama wengine.
???!!!
Wakuu shori lazima adeke banaΒ Β .sio awe mkakamavu,haogopiΒ .hatakiwi awe mjasiri sharti awe mwenye haibaΒ Β sio shori unamuangalia machoni nae hakwepeshi machoΒ Β hata kwenye ishu za kula sio nzi anapita pembeni yeye anamfukuza na kuendelea kula.....hapo lazima asikie kinyaa aache chakula..
Shori unamtembeza kwa miguu asipolalamika basi sio mkaliΒ mashori wakali tabia za kudeka zinawazidishia ukaliΒ Β hata ukimpa ofa ya kinywaji hatakiwi amalize yoote lazima aweke pozj kidogo kwa ajili ya sample ya mkemiaΒ .sauti iwe ndoogo sio apayuke payukeΒ ..sasa shori gani mkali anaendesha lori Bediford au isuzu TXD banaΒ .
mwanamke deko babu huwezi waachie wenzio wanaojua kudekeza, nisipodeka kwa mpenzi wangu nikadeke wapi? Kwa baba yangu au? Huwezi tafuta hardcore mwenzio hahaha mtaofundishana kungfu chumbani
nini tena?:d:d:d:d
mhhh chacha wewe ulikuwa wataka udeke wewe nani ammbembeleze mwenziwe?Deko ilo we si ulikuwa unanicheka.....π
mhhh chacha wewe ulikuwa wataka udeke wewe nani ammbembeleze mwenziwe?
hahahhahaha nyumba ni mapatano na mkalie kubembelezana, ila hapo uko sawa kakando tunadekezana ivo, mapenzi kudekezana ndo utamu ulipo, kubembelezana...'unyumba ni mapatano'....sijui wanaimbaje wagosi huu wimbi ebu malizia