Wanawake jitambueni

Wanawake jitambueni

Ni hawa wanaojadili wanawake kila kukicha. .BADALA YA KUTAFUTA MBINU MAKINI YA KUTAFUTA PESA NA MAENDELEO. ..chaaa! These people are not watsoro pfo! Leka ngiende ambia wo mangi wo koru mbe Kanyi!
mmmmhhh!!kichina!!
 
Rasta zisukwe wiki mbili, toa nywele osha, zikauke nywele zako suka mtindo mwingine, cjui kwa wengine ninapenda mke wangu asuke style tofaut tofaut wakat mwingine akae na nywele zake natural, ajirembe apendeze, mwanamke ni pambo LA nyumba kama ua warid linavyonukia c unakuta mwanamke hajipend, usafi wa mwili wake tatizo, sebulen utafikir stoo, chumban ndio kabisaa, hapo cye, mwanamke mwenye kujipenda Muda wote anavutia na hachujiiiiiiiii
Wiki mbili kichwa hakioshwi ndo usafi huo?
 
Wewe nawe unamsahau sana mkeo! Kama unajua anapenda hayo mambo kwanini usiambatane nae anapoenda kununua hizo lotion!
Kuna mkaka jamani mpaka nikampenda! Kila baada ya wiki mbili anampeleka mkewe saluni kusuka tena anamchagulia na mtindo! Saluni zote kule wanamfahamu! Wanaogopa ata kumvurundwa nywele huyo mdada kwasababu timbwili lake huyo mwanaume hamna anaeliweza!
Wanaume wengine muige ivyo basi!!!
 
Mmmh jaman, Ata biblia imesema wanawake wajirembe, sasa cjui ww wa kijiji gan, tatizo LA mkewe c msafi usuke rasta had zinuke ni kukaa nazo Zaid ya mwez chakufanya ww nikumshaur awe msafi bada ya wik mbili au Tatu afumue nywele azisuke, au azioshe hizo nywele zikiwa zimesukwa na zikauke, vipodoz muhimu ila apake ambavyo haviaribu ngoz yake na kumbadilisha muonekano wake, kua na kucha ndefu Sawa ila kwa mwanamke kucha ndefu ni uchafu ila kucha ndefu zasaidia katika kupetpet, mwanaume nenda na wakat, watakutunzia wenzako
usafi kichwani anahela ya kumpa abadili styl kila baada ya wiki 2? wao wana lalama haohao wabahiri.
 
Back
Top Bottom