sinajinasasa
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 2,989
- 4,162
Mwanamke ni kiumbe kitamu sana kwa mwanaume yeyote. Ila kuna baadhi ya vijimambo vyenu vinapunguza credit kwenu. Nilipomuoa mke wangu alikuwa pure natural, lakini kutokana na ushoga na wanawake wenzake akaanza mara kutumia mkorogo ili "apendeze" nikamkataza akaacha.
Kukaa kidogo kaanza kununua rasta na kuzisuka akawa haoshi kichwa mara kwa mara, ukimkisi kichwani au kumkumbatia unasikia harufu za ajabu, nikamkaripia sipendi. Mara kanyoa nyusi original kapaka mikaa " Wanja"
Mara kapaka rangi kucha, anakuwa kama jini na kuacha uchafu
Yaani sasa hivi akirudia kufanya ujinga huo wa kuweka vitu bandia kichwani namgeuzia upande wa pili au namwacha peke yake kitandani.
Aliwaambia nani mnapendeza kwa vitu hivyo. Ukitaka kula romance domo limepakwa sijui lipstic sijui shade yaani unanyonya chemical. Mwanamke kuwa msafi paka mafuta yako mazuri utapendeza tu sio vitu vya ajabu.