Wanawake jirekebisheni mkitolewa out

Kwa hiyo unawaambia wakitoka wavae nguo kama za michepuko sio?
 
Mavitenge na malemba yanafanya mwanamke aonekane mzee. Ni sawa na mwanaume uvae yale masuti ya makoti makubwa na masuruali mapana kama aliyokua anavaa ze stone kule mwanzoni.
Mh. aiseeeeeee.
 
Bora wa kwako anavaa vitenge na kirembe kuna wa broo wangu ye anakupigia kitenge, remba na pochi ina ka bible kale kadogo ka rangi ya bluu kameandikwa misale sijui ya nini vile
Huyo ni mama mchungaji aka "mother shepherd"
 
mvalishe tu vimini. Wale jamaa wa kula kimasihara nao wamvalie mipira usome story ya kupatwa kwa mkeo.
 
Mimi naungana na jamaa coz vazi liendane na sehemu husika ,Kama ni kazini vazi la kazini linajulikana ,kanisani au msikitini pia linajulikana .
Sasa na huko out avae mavazi amabayo yanaendana na huku na hii haimaanishi kuwa atakuwa anajishushia heshima ,coz kwanza yupo na mme wake ,mavitenge out ya nn mtu atilie suruali yake Kali, viatu Safi ,na dressing codes zingine zinazoendana na mazingira hayo ,
Yaaani kiufupi nakubaliana na mtoa mada asilimia Mia moja [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Amezoea kula mizoga anashindwa kutengeneza mke wake
Sent using Jamii Forums mobile app
 

Mkuu uko sahihi. Nilichogundua hapa watu wengi hawajui kutofautisha kati ya kuvaa kijanja na kuvaa kikahaba. Mdada anaweza kuvaa kijanja na akapendeza bila kuonekana kahaba.
 
Ulisemalo ni kweli kabisa mkuu,idadi ya wanaume inazidi kupungua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…