@KENZY"Waambie hao"
Akasikika mlevi mmoja akiropoka!!
Sasa kama wewe humnunulii viguo special for you, wala humpeleki saloon kutengeneza nywele na ukamwambia ndicho unachopenda yeye afanyaje??Yangu ni machache tu.
Wanawake wa Kitanzania walioolewa wanakera sana. Ukimwambia kajiandae tutoke tukakae mahali tukale mbuzi choma, ataingia ndani akitoka utamwona na bonge ya kitenge cha wax na kilemba juu.
Basi mkifika sehemu husika maongezi yake ni ligi tu. Mbona hivi. Mbona yule mwanamke anakuangalia sana. Mbona??
Lakini ukitoka na mchepuko kwanza atakuwa kavaa kiguo special for you magoti yanaoneka halafu maongezi ni ya kukupa matumaini kwamba jioni uongo.
Mlioolewa mnakwama wapi?
Umewaza kama mimi!!Sasa kama wewe humnunulii viguo special for you, wala humpeleki saloon kutengeneza nywele na ukamwambia ndicho unachopenda yeye afanyaje??
Zaidi atachojiongeza ni kushona vitenge vyake alivyozawadiwa kwenye kitchen party na kufunga lemba
Dah kwahiyo unataka mkeo akuvalie sketi fupi halafu mkikaa awe anakwambia leo utamkamua sana na akwambie nyege zimejaa!
Haaaa haaaa pole hiyo kwa mke hutaipata endelea na michepuko tu utayapata yote hayo.
Sent using Jamii Forums mobile app