Wanawake jifunzeni hapa

hapo naona demu hana kosa kabisa kwani alijiheshimu kwa jamaa yake kutunza uaminifu wake, ila jamaa dr ndio amezingua, kwa sasa dem asikitembeze bure ajitulize nakufanya sala sana mungu atamsikia ,

alisimamia ahadi yake na mpenzi wake ndio maana hayo yot yametokea , mungu ni mwema atamjibu, ila asifanye dhambi yoyote kwa sasa
 
Kama hukupendwa tulia fanya mambo mengine, ni ujinga kumsimanga mtu eti hakujua nia yako...kwani yeye nabii anayeona mioyoni? Unajuaje na huyo mwanaume wake hakumuahidi maisha aliyohitaji. Wanaume wa stori za hivi ni loosers kwa kweli, kama hukupendwa move on sio unamsema sema mtu wewe ungeachwa kwa ajili ya mwanaume mwingine ungefurahi?!
 

KUACHWA KWA AJILI YA MWANAUME/MWANAMKE MWENGINE HIYO NI FATE!
 

TIME HEALS N SO WILL THE LORD BE AT HER SIDE.
 
Mimi Dr wangu namsubiri mpka Leo... Nyie Oweni!!hahaha mtoa mada umetoa kisa kimoja kinafanana na ninchokijua sema nn huyo binti hakitembezi!!!
 
Kwahiyo ulitaka amuache jamaa yake kwasababu ya rafiki yako?
 
Tatizo kumjua mkweli yupi na muongo yupi ni ngumu sana sababu hawana alama....huyo Dada hajakosea chochote
 
Tatizo kumjua mkweli yupi na muongo yupi ni ngumu sana sababu hawana alama....huyo Dada hajakosea chochote

WATU WA NAMNA HIYO WANATAKIWA KUCHAPWA VIBOKA 40, HUWEZI MFANYIA MWENZIO IVO
 
Tatizo kumjua mkweli yupi na muongo yupi ni ngumu sana sababu hawana alama....huyo Dada hajakosea chochote

Kweli ilo nalo changamoto ndo maana unaambiwa mtangulize Mungu, huo mchezo hauitaji hasira
 
bado sijaona Kosa la huyo binti,Kwan wewe ulitaka mwenzio aachwe mkuu?
 
KWA WAKATI ULE NAONA INGEKUWA SAWA TU. JE, WW?
Yeye hakuona sawa kwa wakati huo. Sio kitu cha kulaumu.
Ina maana tukitongozwa tukubali tu hata kama tuna wapenzi wetu? Yaani tuwapige chini wapenzi wetu tukubali wapya?
 
Yeye hakuona sawa kwa wakati huo. Sio kitu cha kulaumu.
Ina maana tukitongozwa tukubali tu hata kama tuna wapenzi wetu? Yaani tuwapige chini wapenzi wetu tukubali wapya?


demi: come on that's a figure of speech you hitting me with. Sina maana iyo ila kusoma alama za nyakati nadhani ni muhimu sana. Nadhani kila mtu somewhere shit happens na huwezi laumu.
 
Akili zao wengi sijui wamezificha wapi Yanajifanyaga mazuzu haya maviumbe
 
demi: come on that's a figure of speech you hitting me with. Sina maana iyo ila kusoma alama za nyakati nadhani ni muhimu sana. Nadhani kila mtu somewhere shit happens na huwezi laumu.
Kwenye kusoma alama za nyakati ndio hapo pagumu, na unapokuwa kwenye uhusiano na mtu imani yako inakuambia kuwa huyu ndio sahihi, na akitokea mwingine huwezi kukubali kirahisi hasa kama ulienae unampenda. Na hii ni kwa jinsia zote.
Sasa kutulaumu kuwa hatuwezi kusoma alama za nyakati si sahihi. Kila kitu kina muda wake.
Mi nahisi huyo jamaa yako hakuwa akimpenda dada wa watu maana kama unampenda mtu haijalishi alikukataa miaka mingapi iliyopita...ikitokea chance mnakuwa pamoja bila tatizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…