Wanawake jifunzeni hapa

Hawa viumbe mwalimu wao
Wanamjua wenyewe
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mambo n vais vesa
 
dada wa watu hana kosa kabisa aseee, yeye alikuwa anatunza ahadi yake kwa boyfriend wake ambaye aliahidi kumuoa hakujua kitakachokuja tokea mbeleni lawama zimwendee huyo daktari aliyesubiriwa halafu kamtolea nje binti wa watu, mapenzi ya siku hizi ndio mana nakosa hamu ya kupenda kabisaaaaa
 
usilipie chochote leo... nipigie mahesabu niambie nitamwaga noti... umenikosha sana..!!!!
 
Shida ni kwamba kwenye mahusiano watu wengi huwa wanafeli pale ambapo unaweka promise na mtu ya kuoana bila ya commitment fulani ambayo utaweza kuamini kuwa hapaa sitoweza kuja kusalitiwa. ....

Kwa sisi wanaume kiwango kikubwa huwa tunataka mtoto kwanza ili kuamini kwamba hatutosalitiwa even one day

LA hasha kumbe kinyume chake wapo wanaoweza kutunza na kufikia mafanikio but wapo ambao wakipata mtoto ndio habari imeisha hapo hakuna chako


Kwaio mambo haya ya mahusiano magumu sana hususani Kwa miaka ya siku hizi ngumu sana kuelewa ndugu zangu cha msingi kujitunza na kumuomba mungu akupe hitaji la moyo wako Kwa wakati sahihi
 
Mimi nimeshaona mambo ya mahusiano mkianza kuchunguzana sana na kulimbikizana kama akiba mwisho wake si mzuri.

Ukipata mtu bora umchunguze kwa umakini na uangalifu mkubwa ila kwa muda mfupi.
Awe ni me au ke.

Tatizo wanawake huwa si watafiti wa mtu mwenye true love na mwenye malengo.
 
Dada zetu kwa kipengele hiki wanapotea sana ndo maana ma single mother wanazidi kuongezeka, yuko tayari kumuacha kijana mwenye baiskeli yake akaenda kwa kijana mwenye gari la kuomba kwa washikaji au wazazi wake.
 
Espy wakwangu ameolewa na jamaa unamtunza vizuri kuliko mimi amenenepa kama mbuyu. Ipo siku labda na mimi nitakuwa na pesa ninenepe.
 
Espy wakwangu ameolewa na jamaa unamtunza vizuri kuliko mimi amenenepa kama mbuyu. Ipo siku labda na mimi nitakuwa na pesa ninenepe.
Yaani umenifanya nicheke kama mazuri.
Usijali mkuu, nawe utanenepa tu one day.
 
Message taken...and delivered
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…