AbuuMaryam
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 2,649
- 4,756
Serikali ya awamu ya 5 ya mheshimiwa mpendwa wetu Dr John Joseph pombe magufuli...kuna watu ndio mungu wao uyo...Tupo kwenye mkutano wa SADEKI vuta subira.
Wanakuja mkuu wakuelekeze
Mi sijui jins ya kulock na wala sitaki kujua pm yangu iko waz na hakuna mtu sijawai mjibu sms block zinakujaga watsap tuu ukishindwa kuficha utoto au upuuz wako hadi kwenye kuchart.Ngoja waje
Mi sijui jins ya kulock na wala sitaki kujua pm yangu iko waz na hakuna mtu sijawai mjibu sms block zinakujaga watsap tuu ukishindwa kuficha utoto au upuuz wako hadi kwenye kuchart.
Hahahaha nilikuwa lindo NgabuWe Shualina...leo Jumamosi...mapema yote hii uko macho? Au unakunywa Heineken?
Avatar na ulicho andika tofauti.. Mwenyezi Mungu atakukumu kwa hiyo dhana na upotofu wako. Adhana llah minal zalika.Serikali ya awamu ya 5 ya mheshimiwa mpendwa wetu Dr John Joseph pombe magufuli...kuna watu ndio mungu wao uyo...
Ndio ni mungu wao...kama na wewe ni wao na wewe humo humo...huwezi mtukuza mtu kiasi ambacho hata Mungu Muumba humtukuzi hivyo...Avatar na ulicho andika tofauti.. Mwenyezi Mungu atakukumu kwa hiyo dhana na upotofu wako. Adhana llah minal zalika.