wanawake jamani mbona hamnielewi?

I mean hamjaoa bwana lol
Anhaa huyo hajafika hiyo miaka unayosema anataka wa kugegeda tu si anajua huku wako wengi kuliko mtaani anakoishi au anafikiri wa huku ni watamu kuliko wakina asha na mwajuma anaoishi nao mtaani kwake
 
wanawake hawako rahisi kiivo maana hata kujielezea huwezi poleee
 
Walah hata niwe na shida na mume kias gan ckutafut unacommand et mbona hamnielew
 
Wengine mnalalamika kwamba umepewa mimba then muhusika kakukataa hapo hapo fuesa zingine zimetokea hamzitaki sasa mnataka nini mpewe?
 
Kirahisi tu hivo unfuta mke utadhan unatafuta kuku wako kapotea....

UmeniKumbusha Mzee wangu mmoja wa church aliwahi kuniuliza kuhusu kuoa

Nikamwambia hata mchumba sina

Akaniambia we umekaa tu hapo unasubiri wakufuateee
lol
 
UmeniKumbusha Mzee wangu mmoja wa church aliwahi kuniuliza kuhusu kuoa

Nikamwambia hata mchumba sina

Akaniambia we umekaa tu hapo unasubiri wakufuateee
lol

Bora hata wewe uliesubiri wakufate, sio huyu jirani ako hapa
 
Anatafuta kuongeza IQ kinguvu huyu alafu nadhani ndio kameanza kubalee na ni pre~form one huyu kabisaa....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…