Kuna wengine hua wana familia zanawategemea na wengine waharibifu,na pia inategemea huyo anaekupa anakupa ngapi
kama unapesa zakutosha tuseme m1 kwa mwezi kwa mwenye akili atafanya mambo,lakini wale wanaotaka kujionyesha kwa shoga au mtaani kwao ndio ataishia kuvaa na kutia rangi kucha,kununua less wing pesa imekwisha hao wanaitwa no malengo.
sasa kuna wale wanaohongwa pesa ya mboga ndio inaishia kwanye cream na viwalo vya Manzese,wale wanaopewa pesa ya maana na gari hao khabari nyengine lol.