Yeah, kwa mfano mimi.....huwa sisamehi kiukweli...yaan kabisaInategemea na kabila na makuzi pia..
Mfano wa haraka ya makabila yasiyo sameheInategemea na kabila na makuzi pia..
🤣🤣🤣🤣🥴 Afu makosa tunaona ya wenzetu tuHao viumbe kusamehe na kusahau ni mtihani sana kwao
WanyakyusaMfano wa haraka ya makabila yasiyo samehe
Hawasamehi hakuna cha kabila kwenye natureInategemea na kabila na makuzi pia..
✌️ Pamoja mkuu
Una miguu mitano au minne?hao uliowatag ndio wana majibu kwa sababu sjatagiwa ngoja nione kama nafanana na wenzangu au mimi ni aina mpya ya kiumbe chenye jinsia ya ke
Nyie basi tu🤣🤣🤣🤣🥴 Afu makosa tunaona ya wenzetu tu
Ok sawa mama, 🙏🏿Wanyakyusa
Wakurya
sita.Una miguu mitano au minne?
Karibu sana mbeya...siye ni wakarimu sana mkuuOk sawa mama, 🙏🏿
WasukumaWanyakyusa
Wakurya
Vice versa its true.Wasalaam wakuu
Kama kichwa cha huu uzi kinavyojieleza, Hivi ni kweli Wanawake huwa hamsamehi?
Yaani hata mkiombwa msamaha mtakubali tu lakini moyoni mnakuwa mmelihifadhi tu hilo tukio/kosa?
Sio kwenye makosa ya usaliti na wenzi wenu au Watu wenu wa karibu, ndugu, shoga zenu n.k
Ila nimegusia msamaha kwa kila kosa mnalofanyiwa, Na watu mbalimbali iwe ni sehemu za kazi, majumbani au hata kwenye makusanyiko ya mara kwa mara ni kweli huwa hamsamehi ila huwa mnafanya kama kupotezea tu ila hata mtu huyo huyo akikukosea kwa kosa jingine bado utakumbusha hata lile kosa ambalo ulisema umemsamehe baada ya kukuomba msamaha.
Naomba mtueleze ukweli ili na sisi tujifunze namna bora ili tupate uzoefu wa kukwepa kuwakosea makosa makubwa makubwa, japo hakuna Binadamu asiye kosea.
Hata Mwanaume unaweza kuchangia pia mawazo.
Nawasilisha
Nataka nikuzamishie mguu wangu wa tatu hapo maeneo au unasemaje?sita.