Wanawake hivi mnapendea nini sauti nzito?

Mimi napenda ya wastani hayo masauti makubwa mazito ni wauaji
 
...Mtu akiwa na sauti nzito ni ishara ya kuwa BOLD, we feel protected!, ni sawa na mtu kuwa tall na muscular....vyote vinaashiria SECURITY

Wanawake bana mambo yao dah! Acha muitwe wanawake tu.

Sauti nzito / Tall / Muscular vyote kwa mwanaume sio kigezo cha ustrong havina uhalisia wowote na hayo munayoyazungumza
 
Sauti nzito kwa Mwanaume ni potential sana..

Kwenye background yangu haijawahi kuwa appreciated (zaidi ya watu kuiponda, sijui ilikua ni wivu!!) ..

Kuna siku nilikua na presentation kwenye Mkoa fulani, uko ndio nilijua sauti nzito kwa Me inaraha yake..
 
Wanawake bana mambo yao dah! Acha muitwe wanawake tu.

Sauti nzito / Tall / Muscular vyote kwa mwanaume sio kigezo cha ustrong havina uhalisia wowote na hayo munayoyazungumza
Google it in psychological terms hivi vitu labda utaelewa mweeehhhh
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…