Wanaume pia ni walengwa, kwani nao pochi zao zimetajwa kuwa ni mazalia ya vijidudu vya maradhi..............kinachotutofautisha na wao ni uwiano tu................Kiongozi ! Wanachotakiwa wakushukuru kuwafungua macho, mi Mwanaume sio mlengwa hapa.
Na mwisho wa siku tunawapaka vidudu usiku, laa!
Shikamoo baba,
Dah!huyu mtafiti mbona ameniongelea mm hapa,
Hapa nilipo nakunywa chai hapa mezani kwangu,
Na siku zote huwa nakuja na juice yangu kutoka hm,
Bila kusahau vitafunwa huwa nakuja navyo kila siku,
Basi km ni mavidudu mie nayatengeneza mengi lol!