Sidhani kama keshapenda huyu... Laiti angejua, asingekuja na huu uzi.Wanawake kama Wewe Huwa Mnatupa Sana Taabu Wanaume Kuwaoa... Sijui ka Unajua Kunyenyekea Wewe.. au Ushatendwa Huko unamaliza Hasira zako kwa Wanawake woteee
Yaan hata kwenye Ndoa Kweli matatizo yakitokea Sijuo kama utaweza kuhandle kwa U womanizer ulionao
Nilidhani utamlaumu njia aliyotumia kumbe unamlaumu kwa kushindwa kusimama mwenyewe? Hivi mwanamke anayejiweza hana shida na ndoa wala hapaswi kujua jinsi ya ku-handle ndoa pale anapopatwa na tatizo? Nadhani wanawake wanahitaji kueleweshwa jinsi ya kuishi vyema vyovyote vile iwe na mwanaume au peke yake. Kujiweza haina maana kuwa aaache mambo ya mndoa yaharibike eti kisa tu anajiweza. Alichotakiwa kufanya si kwenda instagram balli kuchuwa njia mbadala. Mwanamke kuishi bila mume hafi ila inamuathiri. Ukikuwa unaweza kuelewa..Kuna stori nimeona sehemu eti mke amekwenda kushtaki kwa moja ya acc za udaku huko insta eti karogewa mumewe hadi kamkimbia yuko na huyo binti.
Yaani mijanamke ya aina hii mimi sielewi hata kidogo, hivi kwanini unagombana na mwanamke mwenzako kisa mwanaume? Kwani huyo mwanaume ni nani mpk anagombaniwa? Si binadamu tu kama viumbe wengine?
Hivi ndo kukosa self worth ama kitu gani? Simtetei alieharibu ndoa ya watu Ila mimi napatwa na hasira na mke anae lia lia eti mumewe kamkimbia,ujinga huo.
Siku wanawake watajifunza kua na self worth na kujali hadhi zao upuuzi wa kulilia wanaume na kuwafanya miungu watu utaisha kwenye dunia.Wanawake don't settle for less, he left mwache aendee tenaa mkimbize don't sweat over a human being kama wewe anaeenda chooni kama wewe.
Niwape siri hivi mnajua kwanini viumbe wanaume wanatesa wanawake? Its becouse sisi tumewaruhusu they say people treat you the way you allow them.
NB:Niko katika mpango kabambe wa kukumbusha wanawake umuhimu wao hapa duniani .
Alamsik
Na uo u desperate unasababishwa na nn sasa kama si ujinga uliomjaa uyo mwanamke? Sasa ukisha shtaki insta uyo mwanaume atarudi?Mtu akiwa desparate yupo tayari kufanya lolote.......
Kwa hiyo usilaumu
Wanawake kama Wewe Huwa Mnatupa Sana Taabu Wanaume Kuwaoa... Sijui ka Unajua Kunyenyekea Wewe.. au Ushatendwa Huko unamaliza Hasira zako kwa Wanawake woteee
Yaan hata kwenye Ndoa Kweli matatizo yakitokea Sijuo kama utaweza kuhandle kwa U womanizer ulionao