Wanawake hawaniombi hela wananionea huruma

mr pipa

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2021
Posts
4,289
Reaction score
9,179
Kila ninae mtongoza huniambia we mkaka tafuta tu hela ya room ukanile bure gharama juu yangu

Je kuna mwanaume aliekutana na maneno kama haya kutoka kwa wanawake wa kizazi hiki?

maana sio kawaida juzi kunadada nimemtumia hela kaniuliza kipenzi umenitumia hela, wewe mwenyewe utatumia nini akaniludishia muamala nikaamua nimnunulie maua ndio akapokea
 
Umeanza kuota ndoto mapema sana.
 
Chai
 
Huruma gani? Hata kama ng'ombe amekonda wanakamua hadi kutoa damu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…