imeandikwa "kwa mfano Wake alimuumba mwanaume na mwanamke"Soma maandko
ni kitabu gani amesema hakuwa na mpango huo?Soma maandko
Mungu alipo muumba ADAM akaona si vyema mtu huyu awe peke yake akamtia usingizi na kupoa ubavu mmoja akamuumba HAWA/EVAUnajua ifike mahala wanawake muwaheshm sana wanaume...unajua Mungu hakua na plan ya kuumba MTU wa kike wazo la Mungu ni kumuumba Adam tuu wa kiume sema Adam akaonesha upweke kukaa mwenyewe ndo akaumbwa mwanamke ili amliwaze na kumuondolea upweke pamoja na kupetypety..
Lakn Leo hii sisi wanaume ndo tumekua watu wa kuwapety wanawake jaman hii cyo kaz yetu wanaume....kumsaidia mwanaume ndiyo kazi iliyofanya Muumbwe
LA cvyo msngekuepo