Walikuwa wanafunzwa kumnyenyekea mwanaume na si vinginevyo
tupe uzoefu wako, wewe unafanya hilo?Hii napata tabu kidogo kuikubali jumla jumla! Sasa kama mwanamke uelewa wake ni mkubwa, anataka akufundishe nawe uelewe lakini ndio unasema eti anaonyesha utundu mno, sasa yeye mwanamke ina maana asiinjoy akufanyie maigizo tu ili uupate huo ushindi unaoutaka?
Ninachokiona hapa kuna conflict kati ya "mwanamke kuhitajika kuonyesha ujuzi" na "mwanaume kuibuka mshindi". Kila la heri!
Wale wanawake wenzangu wanaofikiri kwamba kuzungusha kiuno ndio dawa ya kutoachwa nawapa pole maana watashangaa sana! Watakata hivyo viuno na wataachwa sana tu. Wewe bidada kata kiuno kwa raha zako ukiwa na lengo la kuenjoy tendo na wewe, sio eti nataka kumfurahisha mume! Fanya kila uwezalo ili uenjoy na wewe, sio kwa woga wa kuachwa au kumkamata vzr mume! Kuna hadi classes za kufundisha kukata viuno siku hizi, kila atakaye aweza jifunza, so sio wewe tu unaweza kukikata!!!
Halafu mkimsikiliza huyu anayesema eti kuna mashindano, na mme ndio anapaswa kushinda mtachacha, cha kujikosesha raha? Jipe raha uwezavyo, kama mme hauwezi muziki atajifunza au achape lapa!
i guess women are responsible for all the problems in the universe!
Hahahaaaaa! Ukionesha ujuzi tabu, usipoonesha ujuzi tabu!!!!! Ukikatika sana unamuaibisha, ukijibweteka Gogo tena la mchongoma lisilobebeka! Mfanyiwe nini mridhike enyi viumbe!
tupe uzoefu wako, wewe unafanya hilo?
Hapa inaonekana Arushaone kakugusa na ile thread yake alioitoa chit chatJE HII INAWEZA KUWA SABABU YA KUMFANYA MWANAUME AKAKOSA NGUVU YA KIUME???
Wanawake wengi hasa waliopo kwenye ndoa, wanapuuza ujuzi kwenye tendo la ndoa. Hawajishughulishi kumsaidia mwanaume kuwika, si wabunifu na watundu, jambo hili humfanya mwanaume kushiriki tendo kwa kutegemea kupanda kwa hisia zake mwenyewe, hivyo anapokuwa amechoka au ana mawazo, hawezi kusisimka kwa vile hapati ushirikiano toka kwa mwenzake.
Pamoja na wengi kutokuwa wajuzi, lakini wapo wengine ambao ni watundu mno kwenye sita kwa sita kiasi cha kumfanya mwanaume ajione kama mgeni wa mchezo huo.
Kimtazamo, wanaume hupenda sana ushindi wakati wa kazi, lakini pale wanapogeuzwa chekechea hupunguza uwezo wa kujiamini na kuruhusu hofu kuongezeka mawazoni mwao, hivyo kuwasababishia tatizo la upungufu wa nguvu za kiume.
Inashauriwa kwamba, mwanamke anapokuwa na uelewa mkubwa wa masuala ya mapenzi hasa wakati wa tendo, asioneshe kiwango kikubwa kwa haraka bali amchukulie mwenzake kama mwanafunzi, asiwe na maneno kama: Leo nakuja kukupa vitu adimu kuliko vya juzi, hakuna kulala kasi mtindo mmoja. Kauli hizi huwaogopesha wanaume na kuwafanya wapungukiwe na nguvu.
NIMECOPY AND PASTE FROM FB.
JE HII INAWEZA KUWA SABABU YA KUMFANYA MWANAUME AKAKOSA NGUVU YA KIUME???

hilo la kumsaidia jogoo kuwika!Hilo lipi hasa unataka nikupe uzoefu wangu?
Sarcasm.
Hahahaaaaa! Ukionesha ujuzi tabu, usipoonesha ujuzi tabu!!!!! Ukikatika sana unamuaibisha, ukijibweteka Gogo tena la mchongoma lisilobebeka! Mfanyiwe nini mridhike enyi viumbe!
hilo la kumsaidia jogoo kuwika!
Ha ha ha! Hiyo biashara sifanyi, kama haisimami peleka kwingine sio kwangu. Nataka akiniona na kanga moko tu kitu kinainuka!