JE HII INAWEZA KUWA SABABU YA KUMFANYA MWANAUME AKAKOSA NGUVU YA KIUME???
Wanawake wengi hasa waliopo kwenye ndoa, wanapuuza ujuzi kwenye tendo la ndoa. Hawajishughulishi kumsaidia mwanaume ‘kuwika', si wabunifu na watundu, jambo hili humfanya mwanaume kushiriki tendo kwa kutegemea kupanda kwa hisia zake mwenyewe, hivyo anapokuwa amechoka au ana mawazo, hawezi kusisimka kwa vile hapati ushirikiano toka kwa mwenzake.
Pamoja na wengi kutokuwa wajuzi, lakini wapo wengine ambao ni watundu mno kwenye sita kwa sita kiasi cha kumfanya mwanaume ajione kama mgeni wa mchezo huo.
Kimtazamo, wanaume hupenda sana ushindi wakati wa ‘kazi', lakini pale wanapogeuzwa ‘chekechea' hupunguza uwezo wa kujiamini na kuruhusu hofu kuongezeka mawazoni mwao, hivyo kuwasababishia tatizo la upungufu wa nguvu za kiume.
Inashauriwa kwamba, mwanamke anapokuwa na uelewa mkubwa wa masuala ya mapenzi hasa wakati wa tendo, asioneshe kiwango kikubwa kwa haraka bali amchukulie mwenzake kama mwanafunzi, asiwe na maneno kama: "Leo nakuja kukupa vitu adimu kuliko vya juzi, hakuna kulala kasi mtindo mmoja." Kauli hizi huwaogopesha wanaume na kuwafanya wapungukiwe na nguvu.
NIMECOPY AND PASTE FROM FB.
Hahahaaaaa! Ukionesha ujuzi tabu, usipoonesha ujuzi tabu!!!!! Ukikatika sana unamuaibisha, ukijibweteka Gogo tena la mchongoma lisilobebeka! Mfanyiwe nini mridhike enyi viumbe!
Sijui,lakini mimi kama mwanaume siwezi kujisikia vibaya kama mke wangu atakua mtundu kuliko mimi
Haya ni mambo ya kufundishana hakuna anae jua kila kitu.Mai waifu Kaunga asante kwa kunidisha ile staili ya kichurachura . . . . . Lol!!
Hahahaaaaa! Ukionesha ujuzi tabu, usipoonesha ujuzi tabu!!!!! Ukikatika sana unamuaibisha, ukijibweteka Gogo tena la mchongoma lisilobebeka! Mfanyiwe nini mridhike enyi viumbe!
Shangaa labda watwambia kuwa wanawake wa zamani hawakuwa wanaonyesha ujuzi wao vitandani ndio maana mababu waliendelea kuwa na nguvu kitandani na kama ni hivyo watweleze unyago huko Ntwara ulianza lini maana sipati picha wanavyofundishwaga kuyacheza mayenu kisha wasiyacheze ........................................Tafuteni sababu nyingine bana hebu waacheni wenye meno watafune akha!
Ah somo weeewe, kusema ntu kufurahia chake vibaya akhaa, mwali yeye kitu kupewa bure kwa nini asifurahie? kusema kiuno chake kucheza kwa furaha zambi! mi sijaelewaHah ha ha haaaaaa...................ujeuri kabla hujauvuka nto somo........!!!!!!
Umeona eeh! Kwanza humu humu kwenye mada moja anatuchanganya, oohh hamtusaidii 'kuwika', akiwikishwa ooh madoido yanazidi tunaishiwa nguvu!
Khaa! Hawa watu wanataka nini?